Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Kuteseka ndio mapenzi yenyewe sasa
Kuna mdada nilianza kulipenda Na kumuonesha mapenzi miezi michache iliyopita, likawa linanipotezea, halinijali wala nini, mara ooh liko busy, ila kwa vile mm Saa ingine mm hutumia ubongo kuwaza, kwa body language za yule mdada niligundua pale sina mtu, sahivi nikiwa na hamu ya kuongea nae nampigia simu kinafiki huku namzomea, ili kumjulia hali, Saa ingine anapokea saa ingine hapokei simu, nikasema ningependa kijinga, si mwanzo wa kunywa sumu Evelyn Salt Beesmom
 
🤣Unataka ukanimwagie?
 
Mjinga huyo
 
Haha usimwite mjinga dada wa watu hana makosa, kutonipenda ndo asili yake, ni sawa umtukane jogoo kwasababu anawika, unaetukana utakua unakosea, hata mm kumnafikia dada wa watu nakosea.. ilitakiwa nimkaushie tu Beesmom
Sahihi Kabisa usemayo
 
Kuteseka kwenye mapenzi ni gharama au sadaka unayoitoaa,,Tenga mda wako kamsiklze dizasta vina
 
Unaweza ukatafuta pesa na kuzipata.

Ila ukanyanyasika vile vile
Mara nyingi anaye nyanyasika ni yule ambaye pendo limemzidia au kwa kifupi aliyependa kupitiliza.

Pendeni kwa akili ila msizizarau hisia zenu ili muweze kufurahisha nyoyo zenu.
 
Unaweza ukatafuta pesa na kuzipata.

Ila ukanyanyasika vile vile
Mara nyingi anaye nyanyasika ni yule ambaye pendo limemzidia au kwa kifupi aliyependa kupitiliza.

Pendeni kwa akili ila msizizarau hisia zenu ili muweze kufurahisha nyoyo zenu.
🤣nibalance shobo yaan🤝
 
😭Bado natembea na hili rafiki yangu🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…