Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdada nilianza kulipenda Na kumuonesha mapenzi miezi michache iliyopita, likawa linanipotezea, halinijali wala nini, mara ooh liko busy, ila kwa vile mm Saa ingine mm hutumia ubongo kuwaza, kwa body language za yule mdada niligundua pale sina mtu, sahivi nikiwa na hamu ya kuongea nae nampigia simu kinafiki huku namzomea, ili kumjulia hali, Saa ingine anapokea saa ingine hapokei simu, nikasema ningependa kijinga, si mwanzo wa kunywa sumu Evelyn Salt BeesmomKuteseka ndio mapenzi yenyewe sasa
🤣Unataka ukanimwagie?Nipe mitaa yako Beesmom natoka mbalizi hivi
Naelewa hali unayopitia pole sana , haina haja ya kujistress maisha ni haya haya na watu ni hawa weka huyu leo akizingua fanya haraka uweke mwingine
Sema neno nipate kupita hapo ulipo tuondoke tukajisaulishe shida hizi za dunia.
Mjinga huyoKuna mdada nilianza kulipenda Na kumuonesha mapenzi miezi michache iliyopita, likawa linanipotezea, halinijali wala nini, mara ooh liko busy, ila kwa vile mm Saa ingine mm hutumia ubongo kuwaza, kwa body language za yule mdada niligundua pale sina mtu, sahivi nikiwa na hamu ya kuongea nae nampigia simu kinafiki huku namzomea, ili kumjulia hali, Saa ingine anapokea saa ingine hapokei simu, nikasema ningependa kijinga, si mwanzo wa kunywa sumu Evelyn Salt Beesmom
Utakuta ni dume...🤣🤣🤣😔nimesema wa kunibeba kesho
Kwa kweliUkipenda we penda tuu ila jitahidi na kufikiria kila taarifa katika hilo penzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukatafuta pesa na kuzipata.Tafuteni pesa.Money is not everthing in a relationship. Money is the only thing.
Ukiwa na pesa hutanyanyasika kimapenzi.Utegemezi ndio unaleta manyanyaso.Hasa wanaume akijua umempenda na unamtegemea basi atakunyanyasa.Economic freedom is the key.Hatakushobokea ovyo.
🤣nibalance shobo yaan🤝Unaweza ukatafuta pesa na kuzipata.
Ila ukanyanyasika vile vile
Mara nyingi anaye nyanyasika ni yule ambaye pendo limemzidia au kwa kifupi aliyependa kupitiliza.
Pendeni kwa akili ila msizizarau hisia zenu ili muweze kufurahisha nyoyo zenu.
🤣🤣🤣Kuteseka ndio mapenzi yenyewe sasa
😭Bado natembea na hili rafiki yangu🙏Kuna watu wakipendwa sana wanachukulia kua ni udhaifu wa anayewapenda,wana anza kujiona kama vile labda wao wapo level fulani ya juu kuliko anayewapenda,
Mapenzi ni hisia,huwezi mlazimisha mtu awe na feeling na jambo fulani,mapenzi huanzia kwenye mioyo ya wapendanao kisha inafuata kupendana physical,
Kila mtu amepangiwa partner wake,utampata akupendae na utasahau yote uliyoyapitia,
Mapenzi yametesa watu wengi sana,mapenzi yameua watu,take easy and enjoy ur life.