Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Watu humu kwa kuonesha misimamo ya ajabu ajabu hamjambo. Et penda kushoto mara nini. Ninyi semeni mnatamani na mnakua na watu msiowapenda basi. Ila upendo wa kweli hauwezi kujigawa wala kupretend. Yaan upende haswa then ujigawe acheni uongo bana.

Dear Sister pole. Ndio maisha kwa Kadri muda unavyoenda utakua Sawa. Usiogope kupenda ila kua makini na nani wa kumpenda.
Na ukipenda kweli unaumia!

Ukimpenda mwanamke hata kama ikiwa naye anakupenda hatokukubali haraka haraka!

Nilikuwa naziona siku ni ndefu kweli! Kuna kipindi nikawa najihisi vibaya baya moyoni kwa sababu nilikuwa namuhitaji kwa kumuoa kabisa! Nikaona huu ni ulofa! Upendo huu nikiuonesha kwa Mungu si napata pepo kabisa?!

Mi nilikata tamaa baadaye akanitafuta mwenyewe. Baadaye ndiyo unamuuliza vurugu zote za nini kunipeleka vile wakati nawe unanipenda?!
 
Na ukipenda kweli unaumia!

Ukimpenda mwanamke hata kama ikiwa naye anakupenda hatokukubali haraka haraka!

Nilikuwa naziona siku ni ndefu kweli! Kuna kipindi nikawa najihisi vibaya baya moyoni kwa sababu nilikuwa namuhitaji kwa kumuoa kabisa! Nakuona huu ni ulofa! Upendo huu nikiuonesha kwa Mungu si napata pepo kabisa?!

Mi nilikata tamaa baadaye akanitafuta mwenyewe. Baadaye ndiyo unamuuliza vurugu zote za nini kunipeleka vile wakati nawe unanipenda?!
🤣🤣Hakika Kwa upendo huu tungemwonyesha Mwenyez Mungu mbingu tungeiona
 
🤣🤣Hakika Kwa upendo huu tungemwonyesha Mwenyez Mungu mbingu tungeiona
We acha tu!

Halafu kulikuwa na njemba kama 3 nazo zinafukuzia! Nikaona mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo! Nikaamua ku-stick na malengo yangu tu na kumuomba Mungu niyakamilishe kwa muda niliojiwekea.

Nikala buyu nikampotezea mazima! Wiki ndefu akawa ananitafuta mwenyewe kwenye simu. Eti nimekumisi?

Ila kwa sasa tupo pamoja!
 
🤣🤣❤️ Mapenz ni uchiz
 
Back
Top Bottom