Mpiga Paspoti
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 309
- 1,273
Kujifunga kamba ya nailoni inayovutika.Hapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
naenda kupumzika mwezi mzima nchi za njeHapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
[emoji1787][emoji1787]Sio lazima umfunge Mzee Wa watu . ,,,Namfungulia mashitaka Ridhiwani Kikwete na baba yake kwa kulitia hili taifa hasara kusaini mikataba ya kijinga ili kumuokoa muuza unga. Nitavunja mikataba yote na serikali ya Kichina iliyosainiwa ili kumuokoa Ridhiwani na kumkamata (Ridhiwani) ili arudishe China kunyongwa. Mtu mmoja hawezi kulitia hasara taifa la watu zaidi milioni 60.
Viongozi hawana mipango kwa ajili ya tanzania, viongozi ni wabinafsi mipango ni kuinyonya tanzania kwa faida ya familia zao, unategemea nini kaka?Ukiangalia Sanaa Nchi za Kiafrica Kama Kuna Laana Flani hivi haiwezekani Mnakuwa Na Jirani yenu amepiga hatua Kubwa Kimaendeleo Mnashindwa Hata Kwenda kwa Basi tuu kuiga Alichofanya Mpaka Amefanikiwa Mf South Africa Ndo ulitakiwa Uwe mfano Kwetu kuiga Walichofanya Kwenye kila Kitu Lakini Sijui Viongozi wanatembeaga kufanya Nini huko zaidi ya Kulala Five Star Hotel na Malaya
Kura yangu umepataSitamani kuwa kiongozi lakini ingetokea kuwa rais wa nchi hii kwa haraka haraka, ningepunguza gharama zisizo za msingi za serikali, mav8 v8 haya weka kando, gari za hybrid ama umeme ni safi zaidi kuna haja gani mkuu wa wilaya kutembelea gari ya milioni 200 tuna wilaya ngapi?
Gharama za mafuta na umeme ningefanya kila namna zishuke... hivi vitu ni mihimu na athari yake inamgusa mtu wa chiiini kabisa, mfano mafuta mpaka kufika bandari yetu ni 1200+ hayajavuka 1500 iweje yaje kuuzwa 3000? Hapo unashusha mafuta katila kila lita unaweka tu maxmum ya serikali ni buku.. hawa mawakala sijui ewura sijui nani nani, wanaotoza vikodi kiasi inafika 3000 wote watapata bajeti yao kutoka serikalini kupitia hiyo hiyo buku ya serikali... mafuta yatashuka kwa asilimia kubwa.
Mafisadi fisadi woote wataipata fresh ya unga, mtu ukifanya ubadhirifu ukibainika unatema mali zetu ulizomeza,
Katiba mpya hapa lazima ihusike
Mawaziri hawatakuwa wabunge.
Wakuu wa wilaya wawe ni waajiriwa kabisa.
Siasa za kusifiana sifiana ili mtu apate cheo tupilia kule.
Elimu yetu lazima tuipandishe hadhi mtu anatoka engineer ni injinia kweli.. maviwanda ya kuzalisha vifaa vidogo vidogo, sijui chaja chaja, vifeni na takataka nyingine nitahakikisha vinazalishwa hapa, sisi ndio tunauza nje.
Kilimo lazima niwafanyie wepesi wakulima, kiwe kilimo cha kisasa na chenye mantiki, mashamba ya serikali(watu wataajiriwa huko kuzalisha)
Sheria kali saana kwa wabadhirifu.. nahakikisha uzalendo unarudi mtu anaipenda tanzania yake upyaaa.
Mambo ya kurekebisha ni mengi mnooo kwa jinsi nchi yetu ilivyooza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eid mubarak mkuuNaiba kama mil 200 nawatumia ndugu zangu wajarbu kutatua changamoto zinazowakabili kwanza
Minal faidhina mkuu asante sana kiukweli familia zetu zina changamoto sana inabd kuwapa kitu ili uanze na mambo mngne sasa😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eid mubarak mkuu
Ningekua na kampesa ningekutumia upate kasoda mana umekua very honest hujataka kushusha essay🤣🤣🤣🤣
Fact fulani hiviViongozi Wa Kiafrica Ndo Wanasababisha Waafrica Wote tuonekane Hatuna Akili Kabisa Na hapo Ndo kunasababisha Tulichukie Bara hili la Giza Tatizo Kubwa ni UONGOZI MBOVU
WatakuuaSitamani kuwa kiongozi lakini ingetokea kuwa rais wa nchi hii kwa haraka haraka, ningepunguza gharama zisizo za msingi za serikali, mav8 v8 haya weka kando, gari za hybrid ama umeme ni safi zaidi kuna haja gani mkuu wa wilaya kutembelea gari ya milioni 200 tuna wilaya ngapi?