Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu Nchemba...filisi, weka ndani!
Namfungulia mashitaka Ridhiwani Kikwete na baba yake kwa kulitia hili taifa hasara kusaini mikataba ya kijinga ili kumuokoa muuza unga. Nitavunja mikataba yote na serikali ya Kichina iliyosainiwa ili kumuokoa Ridhiwani na kumkamata (Ridhiwani) ili arudishe China kunyongwa. Mtu mmoja hawezi kulitia hasara taifa la watu zaidi milioni 60.Hapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
Ukiianza hivyo utakufa haraka Kama Mwenda zakeNamfungulia mashitaka Ridhiwani Kikwete na baba yake kwa kulitia hili taifa hasara kusaini mikataba ya kijinga ili kumuokoa muuza unga. Nitavunja mikataba yote na serikali ya Kichina iliyosainiwa ili kumuokoa Ridhiwani na kumkamata (Ridhiwani) ili arudishe China kunyongwa. Mtu mmoja hawezi kulitia hasara taifa la watu zaidi milioni 60.
1 Adhabu ya kifo kwa wezi, wabadhirifu, wahujumu uchumi na yeyote anaye misuse rasilimali za taifa hiliHapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
Taarifa ya mkaguzi na msimamizi wa matumizi ya Serikali. Yeyote ambaye taasisi yake imetajwa, atakwenda likizo kupisha uchunguzi.Hapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
Ukiangalia Sanaa Nchi za Kiafrica Kama Kuna Laana Flani hivi haiwezekani Mnakuwa Na Jirani yenu amepiga hatua Kubwa Kimaendeleo Mnashindwa Hata Kwenda kwa Basi tuu kuiga Alichofanya Mpaka Amefanikiwa Mf South Africa Ndo ulitakiwa Uwe mfano Kwetu kuiga Walichofanya Kwenye kila Kitu Lakini Sijui Viongozi wanatembeaga kufanya Nini huko zaidi ya Kulala Five Star Hotel na MalayaSitamani kuwa kiongozi lakini ingetokea kuwa rais wa nchi hii kwa haraka haraka, ningepunguza gharama zisizo za msingi za serikali, mav8 v8 haya weka kando, gari za hybrid ama umeme ni safi zaidi kuna haja gani mkuu wa wilaya kutembelea gari ya milioni 200 tuna wilaya ngapi?
Gharama za mafuta na umeme ningefanya kila namna zishuke... hivi vitu ni mihimu na athari yake inamgusa mtu wa chiiini kabisa, mfano mafuta mpaka kufika bandari yetu ni 1200+ hayajavuka 1500 iweje yaje kuuzwa 3000? Hapo unashusha mafuta katila kila lita unaweka tu maxmum ya serikali ni buku.. hawa mawakala sijui ewura sijui nani nani, wanaotoza vikodi kiasi inafika 3000 wote watapata bajeti yao kutoka serikalini kupitia hiyo hiyo buku ya serikali... mafuta yatashuka kwa asilimia kubwa.
Mafisadi fisadi woote wataipata fresh ya unga, mtu ukifanya ubadhirifu ukibainika unatema mali zetu ulizomeza,
Katiba mpya hapa lazima ihusike
Mawaziri hawatakuwa wabunge.
Wakuu wa wilaya wawe ni waajiriwa kabisa.
Siasa za kusifiana sifiana ili mtu apate cheo tupilia kule.
Elimu yetu lazima tuipandishe hadhi mtu anatoka engineer ni injinia kweli.. maviwanda ya kuzalisha vifaa vidogo vidogo, sijui chaja chaja, vifeni na takataka nyingine nitahakikisha vinazalishwa hapa, sisi ndio tunauza nje.
Kilimo lazima niwafanyie wepesi wakulima, kiwe kilimo cha kisasa na chenye mantiki, mashamba ya serikali(watu wataajiriwa huko kuzalisha)
Sheria kali saana kwa wabadhirifu.. nahakikisha uzalendo unarudi mtu anaipenda tanzania yake upyaaa.
Mambo ya kurekebisha ni mengi mnooo kwa jinsi nchi yetu ilivyooza.
1.Nitaamuru mwigulu anyongwe Hadi kufa.Hapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience