Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

Mwigulu Nchemba...filisi, weka ndani!

Nitapanga safu ya wasaidizi wangu wenye Elimu yakutosha; wapenda nchi yao [ patriots] na HONEST individuals yaani waaminifu. Kwa vigezo hivyo definately nitawatoa wengi kwenye uongozi wakiwemo makamu wa Rais Phillip Mpango, waziri mkuu Kassim Majaliwa na waziri wa fedha Mwigullu Nchemba kwani they don't pass the three tests!!
Na wengine wote watakaoteuliwa ni lazima wafaulu vigezo vifuatavyo;

MERITOCRACY
PATRIOTISM
HONESTY

Na hakutakuwa na longo longo ya ujomba!
 
Hapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
Namfungulia mashitaka Ridhiwani Kikwete na baba yake kwa kulitia hili taifa hasara kusaini mikataba ya kijinga ili kumuokoa muuza unga. Nitavunja mikataba yote na serikali ya Kichina iliyosainiwa ili kumuokoa Ridhiwani na kumkamata (Ridhiwani) ili arudishe China kunyongwa. Mtu mmoja hawezi kulitia hasara taifa la watu zaidi milioni 60.
 
Ukiianza hivyo utakufa haraka Kama Mwenda zake
 
I will let this country not only to be a country for a Blacks but also the whites people could belong too. I mean a total citizenship to many as it could be, ain't so sure Mimi kama Raisi nina mamlaka kamili ya kumilikisha Taifa kwa Wazungu but I think hio ndio njia ya UHAKIKA ya kuondoa matatizo ya kujikatika kabisa yaani wazi wazi since huk 1970 (Ni meng Sana ukosefu wa Maji, ukosefu wa vyoo mashuleni, barabara, umeme, nk) nchi nzima

Hapo mwanzo kipind population ni ndogo Sana kun jitihada nyingi hazikufanyika ambazo zingeleta +impact kwnye vizazi vyao ambacho kwa ujumla ndio hii (60million ppltion) now. It's too late you can change nothing in this usual ways za uongozi. Blacks can't do things mkuu there is huge "INABILITY" ndan ya each of one of us in 60m people all over the country, na ndio inayoleta matatizo yoote hay unayo yaona. It so hard see how It's so natural Whites are superior than Us (My Opinion). kwa Tunacheza tu hakun tunachofanya miaka na miaka
Ni suala la kumilikisha nchi kwa watu wenye uwezo sio sisi Kwan watatuua ?

Mambo ni mengi sana na yana shangaza mno kwa kweli.
 
Sitamani kuwa kiongozi lakini ingetokea kuwa rais wa nchi hii kwa haraka haraka, ningepunguza gharama zisizo za msingi za serikali, mav8 v8 haya weka kando, gari za hybrid ama umeme ni safi zaidi kuna haja gani mkuu wa wilaya kutembelea gari ya milioni 200 tuna wilaya ngapi?

Gharama za mafuta na umeme ningefanya kila namna zishuke... hivi vitu ni mihimu na athari yake inamgusa mtu wa chiiini kabisa, mfano mafuta mpaka kufika bandari yetu ni 1200+ hayajavuka 1500 iweje yaje kuuzwa 3000? Hapo unashusha mafuta katila kila lita unaweka tu maxmum ya serikali ni buku.. hawa mawakala sijui ewura sijui nani nani, wanaotoza vikodi kiasi inafika 3000 wote watapata bajeti yao kutoka serikalini kupitia hiyo hiyo buku ya serikali... mafuta yatashuka kwa asilimia kubwa.

Mafisadi fisadi woote wataipata fresh ya unga, mtu ukifanya ubadhirifu ukibainika unatema mali zetu ulizomeza,
Katiba mpya hapa lazima ihusike
Mawaziri hawatakuwa wabunge.
Wakuu wa wilaya wawe ni waajiriwa kabisa.

Siasa za kusifiana sifiana ili mtu apate cheo tupilia kule.

Elimu yetu lazima tuipandishe hadhi mtu anatoka engineer ni injinia kweli.. maviwanda ya kuzalisha vifaa vidogo vidogo, sijui chaja chaja, vifeni na takataka nyingine nitahakikisha vinazalishwa hapa, sisi ndio tunauza nje.

Kilimo lazima niwafanyie wepesi wakulima, kiwe kilimo cha kisasa na chenye mantiki, mashamba ya serikali(watu wataajiriwa huko kuzalisha)

Sheria kali saana kwa wabadhirifu.. nahakikisha uzalendo unarudi mtu anaipenda tanzania yake upyaaa.

Mambo ya kurekebisha ni mengi mnooo kwa jinsi nchi yetu ilivyooza.
 
Mimi nitamtaka tu anipe ufafanuzi wa kwa nini miaka nenda sura ni zilezile kwenye Baraza la Mawaziri.
Hivi hakuna sura nyingine zenye sifa? Nchi ina watu zaidi ya milioni 60!

Lakini kila siku wateule ni walewale. Yaani mtu akivurunda Wizara hii, anahamishiwa Wizara nyingine! Ikitokea Mbunge ni mtoto wa Kigogo wa juu, basi lazima apewe unaibu uwaziri! Hii nchi imekuwa ni ya Kisultani!
 
Sitamani kuwa kiongozi lakini ingetokea kuwa rais wa nchi hii kwa haraka haraka, ningepunguza gharama zisizo za msingi za serikali, mav8 v8 haya weka kando, gari za hybrid ama umeme ni safi zaidi kuna haja gani mkuu wa wilaya kutembelea gari ya milioni 200 tuna wilaya ngapi?

Gharama za mafuta na umeme ningefanya kila namna zishuke... hivi vitu ni mihimu na athari yake inamgusa mtu wa chiiini kabisa, mfano mafuta mpaka kufika bandari yetu ni 1200+ hayajavuka 1500 iweje yaje kuuzwa 3000? Hapo unashusha mafuta katila kila lita unaweka tu maxmum ya serikali ni buku.. hawa mawakala sijui ewura sijui nani nani, wanaotoza vikodi kiasi inafika 3000 wote watapata bajeti yao kutoka serikalini kupitia hiyo hiyo buku ya serikali... mafuta yatashuka kwa asilimia kubwa.

Mafisadi fisadi woote wataipata fresh ya unga, mtu ukifanya ubadhirifu ukibainika unatema mali zetu ulizomeza,
Katiba mpya hapa lazima ihusike
Mawaziri hawatakuwa wabunge.
Wakuu wa wilaya wawe ni waajiriwa kabisa.

Siasa za kusifiana sifiana ili mtu apate cheo tupilia kule.

Elimu yetu lazima tuipandishe hadhi mtu anatoka engineer ni injinia kweli.. maviwanda ya kuzalisha vifaa vidogo vidogo, sijui chaja chaja, vifeni na takataka nyingine nitahakikisha vinazalishwa hapa, sisi ndio tunauza nje.

Kilimo lazima niwafanyie wepesi wakulima, kiwe kilimo cha kisasa na chenye mantiki, mashamba ya serikali(watu wataajiriwa huko kuzalisha)

Sheria kali saana kwa wabadhirifu.. nahakikisha uzalendo unarudi mtu anaipenda tanzania yake upyaaa.

Mambo ya kurekebisha ni mengi mnooo kwa jinsi nchi yetu ilivyooza.
Ukiangalia Sanaa Nchi za Kiafrica Kama Kuna Laana Flani hivi haiwezekani Mnakuwa Na Jirani yenu amepiga hatua Kubwa Kimaendeleo Mnashindwa Hata Kwenda kwa Basi tuu kuiga Alichofanya Mpaka Amefanikiwa Mf South Africa Ndo ulitakiwa Uwe mfano Kwetu kuiga Walichofanya Kwenye kila Kitu Lakini Sijui Viongozi wanatembeaga kufanya Nini huko zaidi ya Kulala Five Star Hotel na Malaya
 
Back
Top Bottom