Hivi unajisikiaje unapotumia choo cha kukalia?

Ukishafika 60's and above ndio vinakuwa na umuhimu

Kuna wakati utafika hamtaweza tena kuchuchumaa na wife

Ila kiukweli kwenye public haifai, mtaambukizana majibu na magonjwa ya ngozi kama si mba

Kama upo mahali pa lazima sana kutumia bas nenda na spirit na pamba unapafuta kwnz kbl hujajikalisha
 
Waulize wanaume wa dar
 
Huwa nawaza mengi sana hunichukua hadi dk 1 nafanya maamzi nitumie au nisitumie
Nilikuwaga najisemea kuwa mimi ni mshamba, kumbe akili zangu ziko sawa. Hivyo vyoo hapana kabisa.

Ni heri niende kwa jirani nikamalize shughuli.

Kuchuchumaa ndio style ya kila mnyama. Hakuna mnyama anashisha akiwa amekaa. Sijawahi ona.
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Mamake, mi nilivyo mdhaifu na kunya....hapa nalala tu mpaka niamshwe. Nakiri kuwa hakuna starehe zaidi ya kunya, nani anabisha?
 
Jamii zisizotumia vyoo vya kukaa zinaongoza kwa magunjwa ya tumbo kama vile typhoid na kipindupindu.
Vyoo va kuchuchumaa vingi ni vichafu na vina harufi mbaya sana. Na kwa asilimia kubwa kinyeai hugonga kwenye plate hasa ukiharisha.
Magunjwa mengi ya kuambukiza husafiri kwenye vitasa vya mlango. Je, haoni kinyeai kutumia kitasa cha mlango?
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…