Hivi unajisikiaje unapotumia choo cha kukalia?

Hivyo vya kukaa ukiachia mzigo maji yanakurukia kwenye mkuuundu na puuumbuuuuuu. Huoni ndo vyazo vywa magonjwa hayo? Kwenye hoja Yako ya usafi hata hivyo kama usipokuwa msafi Bado Hali ni ileile Tena ndo mbaya zaidi
 
Hivyo vya kukaa ukiachia mzigo maji yanakurukia kwenye mkuuundu na puuumbuuuuuu. Huoni ndo vyazo vywa magonjwa hayo? Kwenye hoja Yako ya usafi hata hivyo kama usipokuwa msafi Bado Hali ni ileile Tena ndo mbaya zaidi
Sorry ila sijaona point.
Angalia nchi zenye maambukizi makubwa ya magonjaa ya tumbo na nchi zenye maambukizi madogo halafu fananisha aina za vyoo.
Na tusitumie hoja ya joto, Florida kuna joto na hamna nzi. Kwa sababu hamna vinyesi, vyoo vya kuchuchumaa utagonga tu nje ya shimo na nzi hapo anatumia nafasi.
 
Waliokuletea choo washapita huko sasa wanakata kimba huku wanasoma gazeti. Ni swala la muda tu na nyie mkielimika, kuendelea na vipato kuongezeka mtaacha kukariri maisha na kumove on.

Imenikumbusha zamani ubishani kati ya magari auto vs manual wengine wakisema auto ni magari ya kike ila Leo hii ni nadra sana kukuta mtu anajua kuendesha gari manual. Watoto wa 2000 ambao sasa wapo in their 20s hawajui kabisa kama magari manual yamewani kuwepo. Same applies mbele, waliacha kuchuchumaa miaka 200 iliyopita na hawajui kipindupindu ni nini wakati nyie hadi Leo kinawamaliza. Kwanza vyoo vyenyewe ni msaada wa watu wa Marekani 😅
 

Nawaambia kila siku kinachowasumbua sio choo chenyewe bali ujinga, uchafu na umaskini. Bongo hadi choo Cha jumba leupe kinanuka mtu unaanzia wapi kukaa? Usafi wa vyoo umewashinda wabongo wengi hii ni fact.
 
Hoja ya hovyo sana hii, nadhani Mods waisukumie kule kwenye Jokes. Yaani hata mkeo mmeshindwa kushea hiko choo? Wewe ni mlugaluga uliyezoea kujisaidia kama ng'ombe. Samahani lakini.
Kabisaaa wakae tu huko kwao maporini kwan lazma waje daslam tena wanye kwenye vichaka washikwe mamba hv dunia ya Leo una dought kuhusu choo vya kisasa jaman kweli tz ina mbumbumbu wenyew waeupe wamevigawa kati ya Asia na Europe toilets ww unataka mbibi wa watu akajikunje ni kweli ww hubiwez ila hata hyo floor kuiosha iwe safi imekushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…