Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

Ooh asante kwa maoni member
 
Yani usngizi nikama njia moja wapo ya kumsaidia mtu kuwa kiroho kwa maana unapolala roho inakua aina kizuizi(mwili).

kwahyo wakati wa usingizi roho inaweza kupata mawasiliano na roho nyingine(kubwa, ndogo, safi, chafu)
Asante sana mkuuπŸ™
 
 
Mada nzuri, ungeweka jamii intelligence,
ubongo huwa una predict matukio hata tunapo kuwa macho tunachoona sio chote cha ukweli maana unapokwapua jicho muda huo vission huwa inakuwa blur sana kiasi kwamba inakuwa haina faida hivyo ubongo unafanya kitu kinaitwa (sacadic masking) inafuta ile blur na ku replace vission kwa kufanya prediction kuangalia nini kilipita na nahisi hiki ndio kitafuata
 
Asante dodho uzi ni mzuri ndio ila jukwaa la intelligence hua naliona je sijui ila mada zingine za aina hii nitaweka kule

Asante kwa maoni
 
Hivi ubongo usipofanya kazi mtu ndio bye bye?
Ndiyo. Kumbuka ubongo ni ile grey matter (Kitu kama tope ndani ya fuvu lakichwa cha kiumbe) Ni mkusanyiko wa nerves nyingi sana. Mojawapo ya kazi za nerves ni coordination ya mwili mzima - mtu aitwe yupo hai/active. Kwa mantiki hiyo, kama ubongo ukisizi manake hakuna kitakachofanyika kwa mustakabali wa mwili huo kuwa hai kwa sababu hakuna kinachoendelea. Moyo hautafanya kazi yake kama inavyotakiwa, hakuna upumuaji utakaoendelea, n.k.n.k. na yote hayo ni kwa sababu Mratibu amesimama/hafanyi tena kazi yake inayotakiwa i.e. Central Nervous System(coordination system) ime-collapse totally.
 
Yeah. Hii ni Topic nzuri ya mjadala.
 
Asante sana ubongo ni kitu muhimu mnoo ndio maana ukisikia mtu damu imevilia kwenye ubongo ndio baasi anaondoka
 
Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?
Ubongo bado huendelea kuchakata yale uliyokuwa unaona kabla ya kufumba macho.
Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?

Unaona nini ukifumba macho yako?
Inategemea mazingira uliyopo. Kwa mfano kama ni mchana na kunamwanga utaona mwanga hafifu au kama ulikuwa unauelekeo wa miali ya jua basi utaona wekundu fulani ambao kiukweli ni rangi ya damu yako inayopita kwenye blood vessels za jichoni. Kama ni gizani hutaona chochote bali ubongo itaendelea kutoa tafsiri ya unachofikiria au ulichokuwa unatizama kabla ya kufumba macho.
Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?
Macho yapo kazini lakini hakuna kinacchoingia kwenda kwenye ubongo kwa kupitia macho yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…