Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

Kimsingi unatakiwa ukifumba macho uone visivyoonekana, Hapa ndio mtihani mkubwa ulipo, kama pineal gland yako haiko blocked na matakataka unatakiwa kuona, mawazo unayafumbia macho tu, lakini uono wa kiroho hauna limit.
Hapa ndio kwenye somo la kwanza katika kufungua uono wako wa kiroho, mengine usiniulize ni magumu na yanataka uyafuatilie, siyo ya kila mtu.
 
Kwanini hutaki nikuulize huoni kama unanikatiri😢
 
Asubuhi njema mdogo wangu

Ila ukumbuke kufumba jicho hakufanyi wewe uache kuona, unaona ila unaudhibiti mwana wa nje kufikia retina,
Na kwako pia kijana mdogo uwe na siku njema
Na asante kwa comment yako 🫰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…