DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hivi hayo majukumu ya kutake care your husband yanafanywa na nani?labda sugar mamy,waulize akina uchebe na rommy wanayokutana nayo kwa kupenda kulelewa?
Manhood we ina maana kubwa sana
Mimi ni mwanaume ila ngoja nijibu hili swali Inategemeana na factors kama mbili hivi.Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Hata ningesimama namna gani mwanaume asimame kwenye nafasi yake.Alafu sio ajabu kipindi mmewangu hajajipata alienda kusoma marekani kwa mda wa miaka miwili mbona nilitunza familia yake?ila kitu siwezi fanya eti mtu amekaa hapo alafu nimhudumieMkuu wewe hauwezi kwakuwa haujasimama vizuri financially.
Endelea kupambana utajipata
Kuna wenzio wanhudumia familia kubwa hadi ya baba mkwe.
Endelea kujitafuta
Hata ningesimama namna gani mwanaume asimame kwenye nafasi yake.Alafu sio ajabu kipindi mmewangu hajajipata alienda kusoma marekani kwa mda wa miaka miwili mbona nilitunza familia yake?ila kitu siwezi fanya eti mtu amekaa hapo alafu nimhudumie
Wapo wanaume tena wengi wanapenda kukaa waleleweAisee watu tofauti sana
Yaani mimi hata nikiwa holiday bado nitatafuta kitu cha kufanya hata voluntarily
Lakini kukaa kihasara hell 👎
Unatuenjoy wewe hamna muhaya legelege wa hivyoAaaaah [emoji16][emoji16][emoji16]
Sometimes mambo hubadilika Kama umeolewa na mme wako ndo bread winner mshukuru Mungu
Kuna wanawake wengi wanahudumia familia na baba mkwe na mama mkwe wanahudumia kupitia huo mshahara wako.
Ndo maana vijana wanaogopa kuoa broke women ubao umegeuzwa
Wapo wanaume tena wengi wanapenda kukaa walelewe
Na mmewangu navyomuona hata hamu ya ya mapenzi hawezi kupata,yaani eti akae ndani atunzwe?nguvu za kiume zitapotea automatic sasa sijui itakuwajeAisee watu tofauti sana
Yaani mimi hata nikiwa holiday bado nitatafuta kitu cha kufanya hata voluntarily
Lakini kukaa kihasara hell [emoji107]
Sasa mbona hii Ni ID ya kiume? Unatuchanganya
Kazi kubwa ya mwanamke ni nini?Mi ninachojua kazi kubwa ya mwanaume ni kumpenda mkewe na kuhudumia ndio vitu pia vinavyoonesha upendo au kuna namna nyingine mimi sijui unielekeze?
Unatuenjoy wewe hamna muhaya legelege wa hivyo
Hajasoma, hana vyeti, hana kazi na pombe anakunywa?kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Ni mtihaniWapo wanaume tena wengi wanapenda kukaa walelewe
Binadamu kweli tunatofautianaNa mmewangu navyomuona hata hamu ya ya mapenzi hawezi kupata,yaani eti akae ndani atunzwe?nguvu za kiume zitapotea automatic sasa sijui itakuwaje
Kusudi la movement ya usawa ni nini ?Acha uongo yaani unakaa na mwanaume ndani hapambani,unakuwa unafanya biashara gani,utamsadia mtu unaona kweli kakwama na anaendelea kupambana.
Nikukumbushe tu ni ngumu mwanamke kubeba majukumu ya mwanaume na familia ikabaki salama,nature ni nature tu
Duu!Ulifungaje ndoa na wa hivi na wewe? Hata mahari aliweza kumudu?
Wenzio wa hivi tunawafanya mchepuko wa kudumu kama kweli tunampenda na shughuli anaiweza. Tunaolewa na family man, responsible man, baba mjengo, baba mwenye nyumba!
Wewe huyo kakusaidia umejipata saivi kakwama yeye unataka kumpiga chiniYani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Tena ukizubaa unaweza kutafuta kamba ujinyonge wanajua kusimanga hao .pole mwanaume mwenzetu kwa yanayokusibu.Mwanamke akikuhudumia tegemea masimango