Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Yaani. Ukilala ukiamka kuna uzi huu.

Unakumbuka zile nyuzi wa za Interview. Yule member kanitoka jina. πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani ikitokea jioni sijui zamu ya fulani basi mapema tuko online.

Good old days!! Zile interviews kuna namna zilikuwa zinatukutanisha wanaJF kwa namna nzuri sana mixer amsha amsha

Yule member aliyeanzishaga hizi vitu alikuwa anaitwa muosha rungu, baadae alibadili jina akajiita DJ SEPETU

Nilimfanyia interview nae 🀣

 
Yeah Jf was so amazing Kila mwisho wa mwaka palikuwa na Jf party

Jf huu mtandao ulikuwa amazing sana Kwa kweli
 
Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,

Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!

Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.
Miss Chagga alipotea mazima.
 
Kama nyie wote mnao komenti hapa mnajikta ni wa zamani

Ladha mekosekana wapi.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…