Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hakika Mkuu uko sahihi sababu kiukweli kabisa Jf ina uraibu wake na hauishagi kirahisi.
Mfano mimi nilisahau Password ya ID yangu,ndio nikafungua hii,ila nikawaomba Mod's waiunganishe na hii baada ya kuwathibitishia kwa email niliyofungulia ID ya mwanzo,

Sasa kuna siku niliona kuna uzi fulani,kuna mtu ananiulizia kwa ID yangu ya zamani,nikapiga kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…