Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Watakuwa:-
  • Walishazeeka
  • Majukumu yameongezeka
  • Maisha ya ujana yamewatupa
  • Wamekata moto
  • Wamepoteza vitendea kazi vya kuingia jf
  • Wanaishi maisha halisi nje ya mtandao
  • Madeni yamewavuruga
  • Wamekuwa tegemezi baada ya kustaafu kazi
  • Changamoto za kiafya n.k
 
Umeona sasa Mkuu hapo kwa mtu aliyekuzowea huko nyuma aweza kudhania haupo tena Jf.

Na hii bila shaka ndo ipo hivi kwa wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…