Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

[emoji23][emoji23][emoji23] nahisi ilikuwa mwezi wa ramadhani
 
Umefanya nimecheka [emoji1787][emoji1787] hadi kuna mtu ananiambia naona umefurahi mwenyewe.

Nakumbuka kuna mmoja wetu nadhani ni ukhuty naye aliwahi kuunguza kama sijakosea. [emoji1787][emoji1787]
Nimekumbuka Yule Dj sijui alikuwa anamfanyia nani interview kwa English [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulivyokuwa tunaitana sasa
 
Nimekumbuka Yule Dj sijui alikuwa anamfanyia nani interview kwa English [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulivyokuwa tunaitana sasa
Hahahaaaa. Ila sisi khaaa. Nimelikumbuka jina alikuwa anaitwa Dj Sepetu , sio siri alijua kututeka. πŸ˜‚πŸ˜‚

Mi alinifuata PM eti anifanyie interview nikamkatalia. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahaaaa. Ila sisi khaaa. Nimelikumbuka jina alikuwa anaitwa Dj Sepetu , sio siri alijua kututeka. [emoji23][emoji23]

Mi alinifuata PM eti anifanyie interview nikamkatalia. [emoji23][emoji23]
Ewaaah Dj Sepetu ujue ata me alishawahi kunifata nikamkatalia ila yule kaka kila siku jioni anatukusanya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ewaaah Dj Sepetu ujue ata me alishawahi kunifata nikamkatalia ila yule kaka kila siku jioni anatukusanya [emoji23][emoji23][emoji23]
Na tulijua kumjalia kwenye nyuzi zake hatari.

Ila sijui alikumbwa na nini kaka wa watu ilitokea tu ghafla hajaonekana tena.

Dj Sepetu kama upo kwa Id nyingine heshima kwako Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…