Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Huwa ni jini mahaba ndani yake hulipuka kikataa ndume ingine ipewe mbususu anayoihondomola yeye mwenyewe kila siku na hata angekubali ingekua si tamu na ugimvi haushi...
 
Si nasikia wewe ndio umenifanya kampeni za chinichini niachike[emoji16]

Mie huyu? Mdogoako kipenzi!! Sio kweli kabisaaa!!
Ninavyoilavu kapo yenu mpk nikimuona bro anachombeza nakuita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa wanataka kutugombanisha hao
Bro mpk alinimind kwann nakuita anavyowapiga mistari mademu humu!!!
 
Hamna mi Nakuamini EX wangu wakisikiliza ushauri wakautumia vyema mambo ya kukataliwa yatabaki historia kwao[emoji16]

Mnatuchora nyie mmeshinda mmekumbatiana usiku kucha na morning glory mmepeana afu ex mfyuuuu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnataka wambea tuaibike
 

Bro Idd Makengo kwenye vitu vyake pendwa [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Kwasababu yeyote Ile atakayokukataa nayo ,je bhado mtaendelea kushirikiana kama zamani au ndo hata kama mko nyumba moja hata seblen hakai tena
Kwanza mkuu tambua kabisa ,wengi wa wanaume hatupendi kukataliwa mana huwa tuna mamulaka by nature,kitendo cha mwanamke kukukataa huwa tunaona kama ni kudharauliwa.
Hivyo mwanamke akikukataa kamwe huwezi kuendelea kushirikiana nae kwa mambo mengine kwa moyo mmoja hata mkiwa ofisi moja .

Kwa mwanamke ni nadra sana kumtongoza akukatae harafu aweke bifu kwako,lakini kwa men hiyo hutokea mana huwa hawapendi kuona tunakataliwa, inatokea hivyo japo si kwa wote.
 
Na usafi wa kinywa unazingatia? Unamtongoza mtu domo linatema harufu kwann tusianzishe ugomvi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Me napenda masihara usinimind bana NATANIA ila ndo ukweli wenyewe[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Mi nadhani kujibu kwako ivi kunamaanisha huna pesa pia ungekuwa nazo ungejua siyo solution kulingana mada ya huu uzi
Sasa unawezaje kuwa na PESA ukaanza kutongoza mwanamke na kulalamika tena Hawa wanawake wakibongo ambao hawana Exposure na Maisha
 
Of course Kwa upande wangu najiskiaga vibaya Tu for hours kama NI mtu nimempenda ,of coz bado ntaendelea kumpenda tatizo anavoanza kujishtukia anakukwepa ,anakuwa Hana Raha mahali ulipo, akiwa na tatizo anaweza hata kumuomba mtu amsaidie.sasa ndo inakera kabisaa ,bado ningetamani tuendelee kuzungumza Kwa Amani na furaha hata kama umenikataa.
 
Sasa unawezaje kuwa na PESA ukaanza kutongoza mwanamke na kulalamika tena Hawa wanawake wakibongo ambao hawana Exposure na Maisha

Kama wewe hauna fedha Waulize wenye fedha unaowafahamu KAMA kila mwanamke wanaemtaka Wanampata ,kama akikwambia wapo wanaokataa bhasi jua siyo solution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…