Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Una mawenge shemelaTusifanyiane hivi dear sweetheart š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Una mawenge shemelaTusifanyiane hivi dear sweetheart š
Wenge gani tena darlingššš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Una mawenge shemela
Huwa ni jini mahaba ndani yake hulipuka kikataa ndume ingine ipewe mbususu anayoihondomola yeye mwenyewe kila siku na hata angekubali ingekua si tamu na ugimvi haushi...Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote.
Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja ,mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya , mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin unakuta mwanamke Hana Amani kabisa anaishi kama kunakaugomvi flani .
Mimi siamini kwamba eti kumtaa mtu vibaya kunaonyesha msisitizo ya kwamba hutaki,ziko njia nyingi za kumuonyesha mwanaume msisitizo kwamba humuitaji lakin siyo majibu mabaya
Na hatakama unamzarau mwanaume kiasi gani au humpendi kiasi gani au unaona Hana adhi yakuwa na wewe. Umetongozwa hutaki usitumie kama njia ya kumuonyesha jinsi gani unavyomzarau kataa Kwa hekima, mwanaume NI mtu Haya ni maisha huwezijua kesho. kunawatu Wana visasi unaezamchukulia simple ukatoka na mauti
Labda NI waambie wanawake kumkataa mwanaume bila kugombana naye na ukaendelea kushirikiana naye ,utaonyesha upekee WA Hali ya juu ,utaonyesha ni mwanamke jasiri usiyeyumbishwa. Mwanaume anaeshimu Sana maamuzi unayochukua unapotongozwa, mambo ya kugombana na mtu wakati NI Jambo linaloepukika NI upumbavu
Wanawake wekeni akilini kuwa kumkataa mtu Haina maana ya kwamba NI mbaya au siyo handsome
Hapana, NI kwamba hamwendani Tu na ndo maana wewe ukimkataa utakuta kesho Yuko na mwingine saa nyingine mzuri kuliko wewe , kinachomaanisha kwamba mlikuwa hamwendani.
We unadhani Sina mashemeji wengine mpaka nikakuchagua wewe?kumbe umekula njama na ex ?hapa nduki kama escape from Sobibo au prison breakWenge gani tena darlingšš
Si nasikia wewe ndio umenifanya kampeni za chinichini niachike[emoji16]
Hamna mi Nakuamini EX wangu wakisikiliza ushauri wakautumia vyema mambo ya kukataliwa yatabaki historia kwao[emoji16]
Anaenda jela nani sasaBora Africa, sehemu zingine ni sexual harasement na unaenda jela
Hujui timing, huwezi kumwalika mtu mtoke out bila kujihakikishia kuwa ana utayari.
Jenga mazingira na uhakikishe tayari yupo relini mwako...kazi yako wewe ni kumalizia kitu kidogo sana.
Huwezi kukata mti shoka mbili tatu halafu unaanza kuusukuma eti udondoke...
Piga shoka za kutosha, kuna shoka ya mwisho hii hutumika kuuelekeza mti pa kuangukia...
ERoni
Extrovert
Mshana Jr
Hawa ma lejenti watakusaidia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza mkuu tambua kabisa ,wengi wa wanaume hatupendi kukataliwa mana huwa tuna mamulaka by nature,kitendo cha mwanamke kukukataa huwa tunaona kama ni kudharauliwa.Kwasababu yeyote Ile atakayokukataa nayo ,je bhado mtaendelea kushirikiana kama zamani au ndo hata kama mko nyumba moja hata seblen hakai tena
Mi nadhani kujibu kwako ivi kunamaanisha huna pesa pia ungekuwa nazo ungejua siyo solution kulingana mada ya huu uziMalalamiko Mengi husababishwa na kukosa PESA.
Sasa unawezaje kuwa na PESA ukaanza kutongoza mwanamke na kulalamika tena Hawa wanawake wakibongo ambao hawana Exposure na MaishaMi nadhani kujibu kwako ivi kunamaanisha huna pesa pia ungekuwa nazo ungejua siyo solution kulingana mada ya huu uzi
Of course Kwa upande wangu najiskiaga vibaya Tu for hours kama NI mtu nimempenda ,of coz bado ntaendelea kumpenda tatizo anavoanza kujishtukia anakukwepa ,anakuwa Hana Raha mahali ulipo, akiwa na tatizo anaweza hata kumuomba mtu amsaidie.sasa ndo inakera kabisaa ,bado ningetamani tuendelee kuzungumza Kwa Amani na furaha hata kama umenikataa.Kwanza mkuu tambua kabisa ,wengi wa wanaume hatupendi kukataliwa mana huwa tuna mamulaka by nature,kitendo cha mwanamke kukukataa huwa tunaona kama ni kudharauliwa.
Hivyo mwanamke akikukataa kamwe huwezi kuendelea kushirikiana nae kwa mambo mengine kwa moyo mmoja hata mkiwa ofisi moja .
Kwa mwanamke ni nadra sana kumtongoza akukatae harafu aweke bifu kwako,lakini kwa men hiyo hutokea mana huwa hawapendi kuona tunakataliwa, inatokea hivyo japo si kwa wote.
Sasa unawezaje kuwa na PESA ukaanza kutongoza mwanamke na kulalamika tena Hawa wanawake wakibongo ambao hawana Exposure na Maisha
We utakuwa na matatizo ndo mana demu kakumwagaWe unavyosema tafuta hela,ukiwa na hela utavutia wanawake lakin wezi na wauwaji