Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Na wewe hautongozagi ndo maana hujawahi kubwagwa na Kwasababu hiyo matatizo yako NI makubwa kuliko yangu
Mimi namwaga cash kama Sina akili hamna demu bongo wa kunikataa
 
Hahahah wasipoelewa achana nao😀wandewa tuishi sana.
 
Hizi ni steel bars za kiwango cha standard gauge
 
Ha! ha! ha! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro akiendelea kukaza fuvu anamkosa mke wa ujana wake
Tatizo kama nataka kumuacha hivi,kama nataka kumng'ang'ania hivi hata sielewi!sijui alinipa Nini huyu kaka yako
 
Tatizo kama nataka kumuacha hivi,kama nataka kumng'ang'ania hivi hata sielewi!sijui alinipa Nini huyu kaka yako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo wa kwako mbona, kwanza bff wangu missy Gf yupo busy kwenye uzi wa kutafuta mwenza wa ndoa [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Huyo anakupenda anajishaua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…