Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Endelea kujidanganya....hela ya mwanamke haina mwisho mzuri

Mwanaume unakuwa unadharaulika sana
Kwani hela ya mwanaume inakuwaga na mwisho mzuri? Wee kama ananipa hela mie natakiwa kumkula mbususu huo tayari mwisho mzuri
 
Mwanamke analipwa Mshahara mwisho wa mwezi hatoi hata 100 unampa hela ya Matumizii katikato ya mwezi anaanza kukuomba helaaa...!! Yani inafika point inabdi uhoji Pesa yake anafanyia nini unaweza kuta unajitesa umridhishe na mahitaji yake kumbe mwenzio anajenga nyumba mahalii ukoo...
 
Kuna concept moja inabidi tuikumbuke. Wananwake nao wamekuwa wakikwepa majukumu yao.
Kweli napaswa nimtunze na kila kitu lakini naye akae kwa munyumba alee watoto sio kumuachia housegelo
Sina tatizo na hilo kabisa, muhimu ni kwamba muwe mmekubaliana kabla hamjala kiapo.
Ili jaue kabisa maisha anayokwenda kuishi na wewe ndipo aamue kuwa na wewe au la!!
 

Wanawake ni wabinafsi sana nimeona sehemu nyingi kuanzia nyumbani kwangu.

Ni vile hatuwezi kuandika kila jambo mtandaoni ila ningewapa kisa kimoja sema kimekaa kifamilia sana
 
Wanawake ni wabinafsi sana nimeona sehemu nyingi kuanzia nyumbani kwangu.

Ni vile hatuwezi kuandika kila jambo mtandaoni ila ningewapa kisa kimoja sema kimekaa kifamilia sana
Yaah mkuu ni asili yaooo...!! Kulibadilisha hili ni ngumu tuishi nalo tu
 
Sijawahi kuwaza hela ya mwanamke hata mara 1.

Usipange mipango na mwanamke hata siku 1.

Wewe kama Una familia kama unataka kujenga nyumba Jenga peke yako Ila mpe taarifa. Kila kitu mpe taarifa Ila usitake eti mgawane gharama utakuja kulia.
 
Sijawahi kuwaza hela ya mwanamke hata mara 1.

Usipange mipango na mwanamke hata siku 1.

Wewe kama Una familia kama unataka kujenga nyumba Jenga peke yako Ila mpe taarifa. Kila kitu mpe taarifa Ila usitake eti mgawane gharama utakuja kulia.

Utakuja kulia kwa sababu gani?

Maana hata ukijenga mwenyewe siku mkiachana atalilia mgawane na mahakamani ataenda kudai kabisa

Hawa watu ni wanyang’anyi sana kuliko tunavyowachukulia
 
Na wengi huwa wanajenga, au wananunua Asset kwa siri.
 
Sasa what if ukipata mchempuko ambaye yuko honestly na wewe kwenye financial yake?
 
Kwenye hichi kichaka cha uislamu ulichojificha, unajuwa uislamu unasema nini kuhusu mke kuwajibika kwa mume wake?
 
Wanaume bado wapo, ukiachana na yale mafurushi mengine.
Mnapendaga mafala kama haya ndio maana mnazaa watoto wasio na akili...hivi huyu mwanaume unatarajia mwanae atarithi nini kama siyo huo utumbo huko kichwani...

WTF sasa usiulize mapato ya mwenzako ambaye umemuamini muanzishe familia ambayo litakuwa ni chimbuko la vizazi na vizazi unataka umuulize nini?

As long as unafanya kazi na nimekuoa projects zako na zangu zote ni zetu na vizazi vyetu labda tukubaliane kusaidia wengine...ukitaka kuwa kupe tulia nyumbani utahudumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…