π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ pumbavuuuuuMakolokolo kungwi huyo tena usikute ni Swahiba wake na Kalpana kindakindaki....π
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
Sio kweli hata Colgate nyingi zimekuwa fake,wanatumia sukari ya kawaida kutengeneza dawa hizi badala ya sukari ya viwandaniMimi naona Colgate ndiyo ina dawa nzuri zaidi za dawa za meno
Sio rahisi kama unadhani hicho ni kipimo basi na wewe unaweza kuwa unanuka mdomo na hujijui.Hii ni kwel ila unaweza puliza hewa yako ya kinywa tu kwa kuziba na mkono ukajua.
Inawezekana naye ananuka kwa vile ugonjwa mnao wote wawili hamuwezi kujua.Mimi sinuki mdomo ndugu yangu, ningekuwa na hiyo shida mtu wangu angeshaniambia maana ingekuwa kero kwake pia
Mostly ni tatizo la kiafya,Unataka kusema ni tatizo la kiafya? Jamani tusafishe vinywa vyetu kwa ufasaha, hasa kusugua Ulimi.
Hahaaa...nimekumiss balaa sema tu huwa unanibania nisikufahamu nikijaga Dodoma mtani....π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ pumbavuuuuu
Umeona uongee kwa sauti ndogo ili nisisikie...mimi tena niliopoona tuuu comment yako nikajua umenimiss lazima unitaje kisa tuu umeona utopolo...
Ahahhaha mtani bana..ukute unapokujaga hapo ndo na mm nipo hapo...Hahaaa...nimekumiss balaa sema tu huwa unanibania nisikufahamu nikijaga Dodoma mtani....
Denda huwa inakata akili ya utambuzi!... kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Wengine ni maradhi/miili yao hata wapige mswaki kama wanasugua choo harufu bado itakuwepo.Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Mimi Niko tofauti na watu wengi nikisikia mtu ananuka mdomo ama jasho baya Huwa namwambia. Sasa Kuna wanaonikubali kwamba umenyooka na Kuna wanaochukia lkn sijali maana nafanya hivyo kwa lengo la kumsaidia mhusika na sio kumtweza. Kumwambia mtu ananuka mdomo live kunahitaji ujasiliHeshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Tuma hela nkulambe block πNaijua hiyoππ
Huku hamna block sema labda upakimbieTuma hela nkulambe block π
Kabisa mkuu maana lazima tu muhusika atajisikia vibayaMimi Niko tofauti na watu wengi nikisikia mtu ananuka mdomo ama jasho baya Huwa namwambia. Sasa Kuna wanaonikubali kwamba umenyooka na Kuna wanaochukia lkn sijali maana nafanya hivyo kwa lengo la kumsaidia mhusika na sio kumtweza. Kumwambia mtu ananuka mdomo live kunahitaji ujasili
Sensondine + Listerine+ tongue cleaner π₯π₯
Tuwasaidie kujitambua ili wapate matibabu mapemaHawajui
Ipi ni dawa nzuri sasa mkuu?Sio kweli hata Colgate nyingi zimekuwa fake,wanatumia sukari ya kawaida kutengeneza dawa hizi badala ya sukari ya viwandani
Duuh basi pole zao.Wengine ni maradhi/miili yao hata wapige mswaki kama wanasugua choo harufu bado itakuwepo.