Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Hili Ni Tatizo Mtu Kupangiwa Matumizi ya Mke Alie Muoa Kwa Garama Zake Mwenyewe Bila Mchango.
 
mmiliki wa mtandao wa whasapp anaweza kukushtak unachafua brand yake.unda app yako achana na app za watu.itakusaidia kutozdisha ugonjwa wa kisukari.au uwezo wa kubuni ni 0% upo na mdomo pekee.
Hata mmiliki wa Meta Zuckerberg usikute haweki status​
 
Chukulia kwa wepesi tu. Wengine wanaweka status kwa sababu za kibiashara. Wengine ni furaha, huzuni na mawasiliano pia. Furahia maisha maana ni mafupi hapa duniani
 
Chukulia kwa wepesi tu. Wengine wanaweka status kwa sababu za kibiashara. Wengine ni furaha, huzuni na mawasiliano pia. Furahia maisha maana ni mafupi hapa duniani
Hakuna uhusiano wowote kati ya mafanikio ya kibiashara na status za WhatsApp

Kabla ya status watu waliwasilishaje furaha, huzuni na mawasiliano?
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya mafanikio ya kibiashara na status za WhatsApp

Kabla ya status watu waliwasilishaje furaha, huzuni na mawasiliano?
Simu yake, bando lake, status yake, hujalazimishwa kuangalia.

Tatizo lako nini?
 
Utoto na show off za kijinga

Miss Natafuta
Utoto na show off za kijinga ni haki za kibinadamu, kwani umelazimishwa kuangalia?

Hivi kwa nini watu mnakuwa wagumu sana kuelewa dhana ya uhuru wa mtu binafsi?

Hujui kuwa kwenye simu yake, Whatsapp yake, bando lake, mtu kama hajavunja sheria anaruhusiwa kufanya atakacho yeye, si utakacho wewe?
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya mafanikio ya kibiashara na status za WhatsApp

Kabla ya status watu waliwasilishaje furaha, huzuni na mawasiliano?
Mbona ww unatumia simu kuwasiliana, c anze kutembea kuwafuata watu ili kuwapa taarifa ambazo sasa unatumia simu kiwapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…