Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Si kila anaweka status ana tatizo, status was originaly designed kwa wafanyabisshara bu then ikawa ni potential features. Some s watumaj wa mara kwa mara, wale wanaotuma mara kwa mara , vijembe au picha binafsi ndio wenye shida
 
Kuna wengine wanashangaa pia wewe kufuatilia maisha ya watu hadi kujua wanaweka status unafaidika nini?
 
Na umri wangu huu,yani hata sijui wanawekaje huo UCHAFU huko kwenye Whatsapp!!!!!
 
Sidhani kama ni ujinga,sababu wengine wanapata kufikisha jumbe kupitia hizo status, kwa hiyo sehemu ya status iliwekwa kwa ajili gani?
 
You will be fine... you will be fine. Jipe muda kila kitu kitakaa sawa.... una stress.
 
Mimi nachukulia una wivu.

Watu wanapost biashara zao.

Watu wanapost mafanikio yao.

Sasa hivi nina washkaji zangu wamepost BMW party meet and greet.

Na nahisi umeona mtu wako wa karibu kapost hivyo roho inakuuma imebidi uje kutufundisha uchawi.

Kwanini usi-like tu ukawaacha na maisha yao? Au naweza sema status za ******* unazolalamikia ni zinamaanisha contacts za aina gani ulizonazo.

Na ndiyo vile ndege wanaofanana
 
Aepuke sana wanga ale zaidi protini. Ajitahidi pia kuepuka madeni.
 
Hahahaha...watanzania mmevurugwa hadi mnajadili Status za whatsapp za watu...Ccm imewaharibu sana nyie
 
Status sehemu pekee huwa na fake life, sjawah post chochote concerns me au my life, nnachopost pale huwa uwongo tupu
 
Mimi kuna jamaa nimeona jana wameweka status za kumpongeza Prof. Janabi[emoji57]
Mtu anatembea kwenda dukani tu kununua vocha anajirekodi vidio anapost status afu ni kidume kabisa umri umeenda duuh.. yaani watu wanaforce kupost kila kitu tu tuone ili sijui tu tuwasifie au niaje yaani kuna watu washakua watumwa kabisa wa akili na hii feature.

Mie kuna watu mpaka nishajua tabia, aina ya maisha yao na vyumba vyao vilivyo ndani na wanapolala kupitia tu status hasa wanawake wapenda show-off za kijinga...
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Ni kweli jamii ya sasa imekengeuka kwa kiasi kikubwa sana. Ni ajabu kuwakuta wanaume wanafanya mambo haya na wengine wanafikia hatua ya kuvaa bukta mtaani pamoja vipochi vya kike na viatu vya kuchomeka (kama wanawake). Wapuuzi sana hawa kenge maji.
 
Kwanza mm kati ya vitu ambavyo sivifuatilii ni kufungua status za watu.
 
Kila mtu na mitazamo yake.
Hivyo kila mtu ashinde mechi zake.

Kusema ukweli hata mimi sifagilii status za whatsapp naweza kumaliza mwaka mzima bila kuweka status.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…