Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Kama ni mtu wa biashara, status ni sehemu nzuri sana kujitangaza.
Hata facebook ni sehemu nzuri sana kutangazia biashara zako
 
Mkuu jiangalie unaweza Kuta unaanza kudata taratibu ila hujijui.

Niliona post Yako ukilalamika kwann watu hawanunui majiko ya umeme mara hii nakuona unawashambulia wanaoweka status mbaya zaidi hayo mambo yote ni personal.

Chukua hatua kabla mambo hayajaharibika.
 
No hard feelings bro ni mitazamo tu
 
Hata mm sipendezwi na hii tabaia lkn nadhani tuchukulie kuwa binadamu tuko na interest tofauti.
 
Maisha hayana chaguo moja, hupendi hiki mwenzako anapenda kile na unapenda kile mwenzako hakipendi. Huu sio mjadala na sioni shida kwa mtu yoyote anayepost post status ila kuna wengine kutokana na aina ya contents zao unawamute usione ujinga wanaopost (kwangu haunifurahishi)
 
Kama unatangaza biashara yako sawa, ila otherwise naona kupost stutus ni kama kutafuta tu attention
 
Kwani Lazima uangalie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…