Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu?
Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu anamwambiaje? Je waliokufa 29 anawaongeleaje mbele za Mungu?
Kauli nyingine ni hii ya Leo akiwa na mahakimu na majaji anawaagiza wakatende haki, nauliza haki ipi?
Hivi kweli Mama hajui kama Tundu Lissu yupo magereza kwa kunyimwa haki yake ya kuwa huru?
Hizi kauli mbili zinanichanganya dhidi ya huyu RAIS