Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

Kuna chatu mmoja humu, anaota ndoto za 2020, anatamani kuuwa na furaha yake ni damu za watu, nimemsoma comment zake zote nimebaki namuombea tu kwa MUNGU.

Tangu apewe roho ya shetani katika uchaguzi wa ndoto2020, akili yake iliharibika kabisa hadi leo na inazidi kuwa mbaya zaidi.
mnaongea kwa sababu mpo kwenye keyboard nyie wale watoto walikuwa majambazi sugu watu gani wanarudi rudi mara 6 mpaka 10 kutaka sehemu hiyo hiyo kuiba na kuchoma halafu mnawaita waandamanaji? MAJIZI MAKUBWA
 
Una maana ya huyu jamaa ndoto2020?

Mungu amrehemu, hajui awazalo!
 
mnaongea kwa sababu mpo kwenye keyboard nyie wale watoto walikuwa majambazi sugu watu gani wanarudi rudi mara 6 mpaka 10 kutaka sehemu hiyo hiyo kuiba na kuchoma halafu mnawaita waandamanaji? MAJIZI MAKUBWA
Wewe ulikuwa wapi kiasi cha kuwaona wanarudi mara 6 mpaka 10 palepale kama na wewe hukuwa miongoni mwao? Au umeambiwa na kusikia kwa Jumanne Muliro?
 
wamechoma kwa rafiki zangu 3 na majirani 8 wamefilisiwa mimi chupu chupu Rifle ilisaidia kwa kulinda kwa zamu zamu na mzee wa miaka 81 na kwa sababu pia mimi na baba yangu tunajulikana ni wakorofi sana , wanaotujua walikuwa wanawaaambia wenzao hawa wazeee watatupiga risasi kweli
Oooh, kumbe waliokuwa wanapiga risasi wananchi majumbani mwao, barabarani na kwenye kumbi za starehe, vijiwe vya kahawa, mabanda umiza ya kuangalizia mpira ni raia kina nyie ndoto2020 mliokuwa mnajilinda msichomewe maduka na mali zenu za kifisadi, au siyo..?

Kumbe sio polisi na mercenaries (askari wa kukodi) toka Uganda, Zambia, Burundi na DRC bali ni nyie mnaomiliki magobore ndio mliua watu siyo..?

Sasa Mimi nakuambia hivi, huu wako ni utetezi wa kijinga na kipumbavu kabisa kuliko ujinga wenyewe ambao hauwezi kuwaokoa na hukumu yenu ya HAKI kabisa iliyo mbele yenu na ambayo imeshaanza kuwatafuna polepole mmoja baada ya mwingine maana imeandikwa mahali kuwa, "...auae kwa upanga naye atakufa kwa huo upanga vilevile...!!"
 
Sawa sawa labda kichwa kina akili sana na nilifurahi sana walivyoshikishwa adabu sema walipigwa wachache sana na waliwachelewesha sana
Usiwe na haraka, zamu yako na ya huyo mfugaji wako inakuja. Hamuwezi kuiepuka.
 
siku ya kwanza walionywa na IGP wakajiona wajanja siku ya pili CDF kaonya bado wakajisifu et polisi wachache hawawezi , wamepelekewa moto wamepasuliwa vichwa hao wachache tu mmeshaanza kulia kila mahali na shule mmeipata umeona hawatoki tena , SHENZI KABISA MAJIZI NA MAJAMBAZI
Vichwa vinavyosubiri kupasuliwa ni hiki chako na huyo huyo anayekufuga kama nguruwe.
Usiwe na haraka, wakati wenu unafuata.
 
Wewe ulikuwa wapi kiasi cha kuwaona wanarudi mara 6 mpaka 10 palepale kama na wewe hukuwa miongoni mwao? Au umeambiwa na kusikia kwa Jumanne Muliro?
nilishaandika sana humu kwa siku nne hatukulala hata nusu saa usiku na mchana karibu familia 8 zenye biashara eneo hilo kulinda vi biashara vyetu baada ya kusikia dar wameshachoma maduka ya watu binafsi wengi, nilikuwa mwenyewe nashirikiana na wenzangu na FFU wa zile ATM za kwa rapha group
 
Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu?

Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu anamwambiaje? Je waliokufa 29 anawaongeleaje mbele za Mungu?

Kauli nyingine ni hii ya Leo akiwa na mahakimu na majaji anawaagiza wakatende haki, nauliza haki ipi?

Hivi kweli Mama hajui kama Tundu Lissu yupo magereza kwa kunyimwa haki yake ya kuwa huru?

Hizi kauli mbili zinanichanganya dhidi ya huyu RAIS

Mimi pia kuna kitu kilinishangaza siku ile alipokuwa anawapongeza wana michezo!! Binti yake ambae bila soni alimpa unaibu waziri wa elimu ; alimsimamisha na kutaka wana michezo wamuone na kweli walimuona kwani aliwauliza kama walimuona na alikuwa anafanana na nani? Huyu mwanae ni mke wa mtu tena nae waziri sasa kitendo cha kumnadi mbele ya vijana wacheza michezo wakware na hasa ukijua kuwa ni mke wa mtu hapakuwa mahala pake na hakikuwa cha heshima hata kidogo!! Ingawa huyu mama mume wake wa kwanza nae Samia amemteua kawa DC anabidi wakati mwingine afikiri athari za maanuzi yake na maneno anayosema kwa jamii. Kuna mambo mengine Rais wa chi hatakiwi kufanya au kusema hadharani!
 
wamechoma kwa rafiki zangu 3 na majirani 8 wamefilisiwa mimi chupu chupu Rifle ilisaidia kwa kulinda kwa zamu zamu na mzee wa miaka 81 na kwa sababu pia mimi na baba yangu tunajulikana ni wakorofi sana , wanaotujua walikuwa wanawaaambia wenzao hawa wazeee watatupiga risasi kweli
Kwahiyo kwenye tume umeshafika?Na je wewe binafsi na huyo mzee niini dhima yenu kwa uhai na upotevuwa raia katika siku zile.Na je silaha zenu zina usajili na leo zipo wapi?
 
wamechoma kwa rafiki zangu 3 na majirani 8 wamefilisiwa mimi chupu chupu Rifle ilisaidia kwa kulinda kwa zamu zamu na mzee wa miaka 81 na kwa sababu pia mimi na baba yangu tunajulikana ni wakorofi sana , wanaotujua walikuwa wanawaaambia wenzao hawa wazeee watatupiga risasi kweli
Hawana cha kupoteza, mmewanyima, ajira, sauti ya kusema, na elimu. Mapesa, mbuga za wanyama, madini, bandari, airports mmekwiba vyote.

Sanasana mtaongeza tu hesabu ya maiti.
Kama kuuwa ni ufahari hongera.

The more you oppress them the more they rise again.
 
Back
Top Bottom