Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

R
Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu?

Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu anamwambiaje? Je waliokufa 29 anawaongeleaje mbele za Mungu?

Kauli nyingine ni hii ya Leo akiwa na mahakimu na majaji anawaagiza wakatende haki, nauliza haki ipi?

Hivi kweli Mama hajui kama Tundu Lissu yupo magereza kwa kunyimwa haki yake ya kuwa huru?

Hizi kauli mbili zinanichanganya dhidi ya huyu RAIS
Rafiki bila shaka humjui shetani/Ibilisi na namna anavyotenda kazi yake..

Biblia - Neno la Mungu linatueleza bayana kuwa "Yeye hujigeuza kuwa malaika wa nuru" ili awasogeze anaotaka kuwala awale vizuri na kwa urahisi kwa kuwa watadhania na kumwamini kuwa ni mwenzao..

Ona tu, sasa hivi anaita watu kwenye kinachoitwa "maridhiano". Yaani afanye uhalifu yeye, aumize wote anaotaka kuwaumiza halafu hapohapo huyu mhalifu anajiegeuza na kuwa mwenyekiti wa kamati ya maridhiano ili aridhiane na watu aliowaumiza na kuwaua kwa makusudi...!!!

Hiyo hapo👆🏻 sasa ndiyo tabia halisi ya shetani na mawakala wake binadamu kama huyu Samia na genge lake!!

Usihadaike na kubadilika badilika kwake. She's a devil herself in a human being sketch..!

Mabadiliko ya kweli ya kuaminika ni mpaka atakapokiri hadharani kuwa serikali yake inateka na kuua yeyote anayeikosea na wengine hufunguliwa mashitaka ya uongo kama alivyo Tundu Lissu leo..

Pia pale atakapokiri kuwa serikali yake iliua watu maelfu 29/10, imeiba uchaguzi na imezika maelfu ya maiti za watu iliyowaua kwenye makaburi ya pamoja...

Akikiri haya, tutaamini kuwa ametubu na huyo atakuwa binadamu na sio shetani/Ibilisi. Bila kufanya hivi, atabaki kuwa ni shetani/Ibilisi tu anayejifanya malaika wa nuru!!
 
Lawama za October 29 mnazipeleka kwa SSH lakini hamuwalaumu hao vijana waliotaka kuigeuza nchi nzima ifanane na maghetto wanayoishi.

Mlitaka waachiwe tu waendelee kujichukulia sheria mikononi kadri wanavyojisikia?. Mlitaka nchi yetu iwe kama Somalia au Sudan ya miaka ya 90?.

Rais lazima aheshimiwe hata ikiwa anafunga na kuswali mwaka mzima, agizo lake lazima litekelezwe.

Lissu alijichanganya kwa kauli ya kukinukisha, alitaka Tanzania inuke kabisa ichafuke mazima.
 
KUNYWA KAHAWA NDUGU UNA AKILI TIMAMU SIO HAYA MAKENGE HUMU YALITAKA TUWE MOGADISHU
 
siku ya kwanza walionywa na IGP wakajiona wajanja siku ya pili CDF kaonya bado wakajisifu et polisi wachache hawawezi , wamepelekewa moto wamepasuliwa vichwa hao wachache tu mmeshaanza kulia kila mahali na shule mmeipata umeona hawatoki tena , SHENZI KABISA MAJIZI NA MAJAMBAZI
Subiri kichwa cha huyo anayekupeleka msalani kitakapo pasuliwa, ndipo utakapoelewa kuwa kichwani mwako ni patupu kabisa.
 
Sawa sawa labda kichwa kina akili sana na nilifurahi sana walivyoshikishwa adabu sema walipigwa wachache sana na waliwachelewesha sana
 
Subiri kichwa cha huyo anayekupeleka msalani kitakapo pasuliwa, ndipo utakapoelewa kuwa kichwani mwako ni patupu kabisa.
siku ya kwanza walionywa na IGP wakajiona wajanja siku ya pili CDF kaonya bado wakajisifu et polisi wachache hawawezi , wamepelekewa moto wamepasuliwa vichwa hao wachache tu mmeshaanza kulia kila mahali na shule mmeipata umeona hawatoki tena , SHENZI KABISA MAJIZI NA MAJAMBAZI
 
R

Rafiki bila shaka humjui shetani/Ibilisi na namna anavyotenda kazi yake..

Biblia - Neno la Mungu linatueleza bayana kuwa "Yeye hujigeuza kuwa malaika wa nuru" ili awasogeze anaotaka kuwala awale vizuri na kwa urahisi kwa kuwa watadhania na kumwamini kuwa ni mwenzao..

Ona tu, sasa hivi anaita watu kwenye kinachoitwa "maridhiano". Yaani afanye uhalifu yeye, aumize wote anaotaka kuwaumiza halafu hapohapo huyu mhalifu anajiegeuza na kuwa mwenyekiti wa kamati ya maridhiano ili aridhiane na watu aliowaumiza na kuwaua kwa makusudi...!!!

Hiyo hapo👆🏻 sasa ndiyo tabia halisi ya shetani na mawakala wake binadamu kama huyu Samia na genge lake!!

Usihadaike na kubadilika badilika kwake. She's a devil herself in a human being sketch..!

Mabadiliko ya kweli ya kuaminika ni mpaka atakapokiri hadharani kuwa serikali yake inateka na kuua yeyote anayeikosea na wengine hufunguliwa mashitaka ya uongo kama alivyo Tundu Lissu leo..

Pia pale atakapokiri kuwa serikali yake iliua watu maelfu 29/10, imeiba uchaguzi na imezika maelfu ya maiti za watu iliyowaua kwenye makaburi ya pamoja...

Akikiri haya, tutaamini kuwa ametubu na huyo atakuwa binadamu na sio shetani/Ibilisi. Bila kufanya hivi, atabaki kuwa ni shetani/Ibilisi tu anayejifanya malaika wa nuru!!
Kuna chatu mmoja humu, anaota ndoto za 2020, anatamani kuuwa na furaha yake ni damu za watu, nimemsoma comment zake zote nimebaki namuombea tu kwa MUNGU.

Tangu apewe roho ya shetani katika uchaguzi wa ndoto2020, akili yake iliharibika kabisa hadi leo na inazidi kuwa mbaya zaidi.
 
Wa ndani ya ya nyumba yako walikuwa wangapi?
wamechoma kwa rafiki zangu 3 na majirani 8 wamefilisiwa mimi chupu chupu Rifle ilisaidia kwa kulinda kwa zamu zamu na mzee wa miaka 81 na kwa sababu pia mimi na baba yangu tunajulikana ni wakorofi sana , wanaotujua walikuwa wanawaaambia wenzao hawa wazeee watatupiga risasi kweli
 
Back
Top Bottom