Hizi ndege za ATCL zimemkosea nini Lissu? Mbona anaziwazia mabaya tu?

Lazima zidakwe au kama vipi mlipe fidia. Maana huwa hamlipi hadi ndege zidakwe.
 
Kama haki iko upande wake ni halali ndege zikamatwe.
 
Kumyima mtu haki yake ndiyo uzalendo? Yaani leo hii nikiishtaki serikali kwenyye kesi ya madai na nikashinda, serikali ikawa haitaki kunilipa unataka nikae tu hivyo hivyo milele? ndiyo uzalendo huo? kesi za kimataifa utalipa tu, utake usitake ni suala la muda
 
Lissu ashughulike na waliomshambulia,

Aachane na ndege zilizotokana na JASHO na Kodi zetu.
Wenye IQ ndogo ndio watashabikia hii, kama ulimsikiliza Lisu na alichotaka tujue mambo ya ndege ilikuwa ni mfano tu na sio iliobeba hoja zake. Wanaotaka kuhamisha magori ndio wanachukua na kutafuta pa kupindia, kwa kifupi wanahamisha gori mana tayari kimeumana nyavuni. We chungulia nyavuni kama una iq ya kuona.
 

Punguza unafiki na uchawa.
 
Je wewe wapenda maendeleo ha taifa lako.
 
Hatuongelei kupigwa risasi, tunaongelea uzalendo wake ndani nchi hii "kwanini anaziombea mabaya ndege hizo zimemkosea nini"
Inashangaza uzalendo wake unatokana na nini kama kila mara anachowaza ni kukamata tu ndege za ATCL ,

Hatujui tu akilini mwake anawaza nini hatari zaidi ya kukamata hizo ndege.

Hivi huwa anagombea Urais ili akafanye nini??
 
Rafiki yangu naona una hamisha magoli.

Unabinya pazuri ili timu Magu wafufuke dhidi ya Lissu?
Mkuu,

Inasikitosha tu namna huyu msomi nguli anavyotaka kuona shirika la ndege la nchi anayotaka awe Rais likiteketea.
 
Inashangaza uzalendo wake unatokana na nini kama kila mara anachowaza ni kukamata tu ndege za ATCL ,

Hatujui tu akilini mwake anawaza nini hatari zaidi ya kukamata hizo ndege.

Hivi huwa anagombea Urais ili akafanye nini??

Wakati mnamminia risasi hamkujua neno uzalendo?. Yani kwenye roho ya mtu uzalendo hamna ila kwenye mapangaboi ndio unalazimisha uzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…