chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 623
- 942
Uliokutana naoWaganga wote
Uliokutana naoWaganga wote
Na hiyo hoja kuntu inaifanyie nibwete bila kutafuta pesa ili niipate amani na furaha bila pesa mamaaaaaeAtoe hoja kuntu
waganga wa kweli ni chama Cha ma jobless pro maxWaganga wa kweli ni kina nan
Sasa lile ombi langu umenikubalia au hapana ?Haya mi nakaa pale, nisome comments tu 🍿
Sikwenda kuufata utajiri, sio kila mwenda kwa mganga ataka utajiri, wengine n ulinzi, magonjwa, biashara , cheo, siasa mapenz nk, ahsanteSawa upo namba ngapi kwa matajiri wa tanzania kwa sasa?
Kidumu chama chetu na zidumu fikra za mwenyekiti 🍺waganga wa kweli ni chama Cha ma jobless pro max
Ukapata kipi kati ya ulivyo taja?Sikwenda kuufata utajiri, sio kila mwenda kwa mganga ataka utajiri, wengine n ulinzi, magonjwa, biashara , cheo, siasa mapenz nk, ahsante
tuseme Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti, maana siku akija mwehu usi shangae tuka tandikwa fimbo😂😂Kidumu chama chetu na zidumu fikra za mwenyekiti 🍺
Lile la kwenda kupiga vyombo vyetu au?Sasa lile ombi langu umenikubalia au hapana ?
Sidhani kama nina haja ya kuandika hapa, sio hoja ilo nileta walaUkapata kipi kati ya ulivyo taja?
Nasisi hatuna haja ya kuamini Kama huyo mgaga ni wa kweliSidhani kama nina haja ya kuandika hapa, sio hoja ilo nileta wala
Mkuu achana na huyo jamaa ana matatizo ya familia😂Sidhani kama nina haja ya kuandika hapa, sio hoja ilo nileta wala
Vyote ulivyotaja ninavyo bila mganga , ulizi mimi ni mlinzi wa gate pia , magonjwa siumwi kabisa, cheo mimi ni katibu jobless pro max, mapenzi napendwa na totozi kila kona , siasa no reform no election , hivyo sioni kama bado unayo hoja🤔Sidhani kama nina haja ya kuandika hapa, sio hoja ilo nileta wala
Ahsante kwa taarifa 😂😂😂Mkuu achana na huyo jamaa ana matatizo ya familia😂
Mbona sibishan?. Kwani niliweka ligi na wew kwamba tuko kwenye mdahalo😂😂😂Vyote ulivyotaja ninavyo bila mganga , ulizi mimi ni mlinzi wa gate pia , magonjwa siumwi kabisa, cheo mimi ni katibu jobless pro max, mapenzi napendwa na totozi kila kona , siasa no reform no election , hivyo sioni kama bado unayo hoja🤔
Ndio, alisema hao watu wote wenye hela wamepata kwa juhudi zao, ila kuzilinda lazima utumie ngada.11.Usitumie uchawi kupata hela, ila itafikia hatua utatumia uchawi kulinda hela.
Word's 📌📌11.Usitumie uchawi kupata hela, ila itafikia hatua utatumia uchawi kulinda hela.
Wapi nimesema nimeweka ligi na wewe bwashee 🤣 mbona amani tuMbona sibishan?. Kwani niliweka ligi na wew kwamba tuko kwenye mdahalo😂😂😂
Mtu akikuuka taratibu za chama mboko muhimutuseme Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti, maana siku akija mwehu usi shangae tuka tandikwa fimbo😂😂