NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Wanaoweza kuondoa tatizo la maradhi kwa usahihi katika viwiliwili vya binadamu.Waganga wa kweli ni kina nan
Wanaoweza kuondoa tatizo la maradhi kwa usahihi katika viwiliwili vya binadamu.Waganga wa kweli ni kina nan
Haiondoi ukweli wa uwepo wa wachache wa kweliNo 15: waganga wengi waongo📌
Kama ni hivyo mimi pia ni mganga ila sio mimi naondoa bali ni dawa.Wanaoweza kuondoa tatizo la maradhi kwa usahihi katika viwiliwili vya binadamu.
Sio kila mtu anajua dawa na maradhi mengine huondoshwa kwa manuizi.Kama ni hivyo mimi pia ni mganga ila sio mimi naondoa bali ni dawa.
Manuizi yanaondosha maradhi kivipi ? Nipe mechanism yakeSio kila mtu anajua dawa na maradhi mengine huondoshwa kwa manuizi.
Waganga hujihusisha na kukabiliana na nguvu jifichi sasa kuna namna yake ya kuzikabili.Hapa ndipo mganga alivyo tofauti na ulazima wa dawa Kuna baadhi ya waganga huwatandika fimbo wagonjwa haswa wenye maradhi yafananayo na ukichaa.Manuizi yanaondosha maradhi kivipi ? Nipe mechanism yake
Kwa hiyo na hii miaka yangu 41 unaona huko sipajui kabisa bwashee na kama kweli sipajui unathibisha vipi mtu anapona kwa huo uganga?Waganga hujihusisha na kukabiliana na nguvu jifichi sasa kuna namna yake ya kuzikabili.Hapa ndipo mganga alivyo tofauti na ulazima wa dawa Kuna baadhi ya waganga huwatandika fimbo wagonjwa haswa wenye maradhi yafananayo na ukichaa.
Mlete mgonjwa halisi halafu tuone kama hakupona.Kwa hiyo na hii miaka yangu 41 unaona huko sipajui kabisa bwashee na kama kweli sipajui unathibisha vipi mtu anapona kwa huo uganga?
Ni mlete wapi? Toa maelekezo kamili kwa tangazo lakoMlete mgonjwa halisi halafu tuone kama hakupona.
Ndio madamLile la kwenda kupiga vyombo vyetu au?
Thibitisha waganga wa kweli hapaUliokutana nao
kwa hisani ya grokHela sio chanzo cha furaha kivipi? Jibu kwa hoja tano muhimu
Sawa, twende tukapige vyombo tuenjoy weekend!Ndio madam
Mara nyingi huwa naona likes zako tuKivip master
Kaka kwamba mimi sina grok ? Jibu kwa uhalisia wako kwa sababu grok inaingiza pesa kwa kukujibu utumbo ili iweze kujiendesha ,halafu inakudanganya wewekwa hisani ya grok
Hela sio chanzo cha furaha kwa sababu zifuatazo:
- Furaha inatokana na uhusiano wa kibinadamu: Uhusiano wa karibu na familia, marafiki, au jamii hutoa hisia za upendo, usaidizi, na maana ambazo hela haiwezi kununua.
- Hela hazileti kuridhika kwa muda mrefu: Ingawa pesa zinaweza kusaidia mahitaji ya msingi, utafiti unaonyesha kuwa baada ya kufikia kiwango fulani cha mapato, kuongezeka kwa pesa hakuleta ongezeko la furaha.
- Furaha hutegemea mtazamo wa maisha: Watu wengi hupata furaha kupitia mambo kama shukrani, kusudi la maisha, na kufurahia vitu rahisi, ambavyo havihitaji pesa.
- Shinikizo la kumudu maisha ya gharama: Kumudu maisha ya kifahari au kulinganisha na wengine kunaweza kusababisha msongo wa mawazo, badala ya furaha, hata ukiwa na pesa nyingi.
- Mambo ya thamani ya ndani yanashinda: Maadili kama amani ya akili, afya, na kujiheshimu huchangia zaidi furaha kuliko mali za kimwili zinazonunuliwa na pesa.
Furaha ni zaidi ya rasilimali za kifedha; inatokana na maisha yenye maana na usawaziko wa kihisia.
Naweka comments zangu popote ni wewe tu hauzioni.Mara nyingi huwa naona likes zako tu
Leo nimeona comment yako. Kumbe pesa ikizungumzwa huwa unaweka comment 😀
Nimeona aiseNaweka comments zangu popote ni wewe tu hauzioni.
Kabisa 😁Nimeona aise