Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

Sidhani kama nina haja ya kuandika hapa, sio hoja ilo nileta wala
Vyote ulivyotaja ninavyo bila mganga , ulizi mimi ni mlinzi wa gate pia , magonjwa siumwi kabisa, cheo mimi ni katibu jobless pro max, mapenzi napendwa na totozi kila kona , siasa no reform no election , hivyo sioni kama bado unayo hoja๐Ÿค”
 
Mbona sibishan?. Kwani niliweka ligi na wew kwamba tuko kwenye mdahalo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ