Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

Sijalelewa katika namna ya makuzi ya kijana. Kichwa hakiwezi kuzidi sikio.
 
Ndugu,
Kuna njia nyingi za kujikomboa.
Kwa leo nikushauri njia moja tu.

BADILI USER NAME YAKO.
halafu mengine yatafuata.
 
Ndugu yangu katika imani tupo katika kipindi kizuri sana hiki cha kuomba dua kipindi cha Ramadhani
Amka usiku swali rakaa tatu katika rakaa yako ya mwisho pale kwenye sijda omba dua zako zoootee tubu dhambi zako Allah atakusaidia

Usipuuze hili muekee mola wako ndio suluhisho pekee kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…