Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Ipe muda Iran si imeshambulia na makombora 200. Israel ikitumia hata 50 fanya mlinganyo
✋✋✋✋
Usihamishe magoli!!!
Unaongea as if Mazayuni wanaonewa.

Hili shambulio alilofanya Iran ni majibu ya assassinations walizozifanya Mazayuni Tehran na Beirut.

Kwahiyo so far ni bilabila, yaani hapa sio kwamba Iran anasubiri majibu ya Mazayuni, Iran wanasubiri maswali/uchokozi kutoka kwa Mazayuni.

Hivyo shambulio lolote la Mazayuni kwa Iran litakuwa sio majibu, bali ni swali/uchokozi, Iran watawajibika kujibu. Iran akishajibu ndio tutafanya mlinganyo. Mlinganyo kwa sasa umekamilika, majibu ni kuwa kama ambavyo Israel anaweza kupiga popote ndani ya Iran, na Iran anaweza kupiga popote ndani ya Israel.
 
Kwasasa hatujui kwakweli nani anazo na nani hana. Mazayuni wafanye jambo ili tujue.
US, Russia and China both develops hypersonic missiles.

Iran's Fattah-1 missile boasts a range of 1,400 kilometers (870 miles)
Israel's Jericho-3 range between 4,800km (2,983 miles) and 6,500km (4,039 miles).
 
Makao makuu gani yalipigwa? Kila kilichopigwa na Israel picha zipo, nipe evidence makao makuu yamepigwa. Makombora yalikuwa yanajidondokea bila shabaha halisi.
Kama Mazayuni wanafungia vyombo vya habari kuripoti unategemea hizo picha zitoke wapi?
Huko wanakopiga Mazayuni unapata picha kwasababu vyombo vya habari vipo huru kuripoti.
Bado yajayo kwa Iran hanafurahisha.
Tunasubiri!
Makombora hayana mashara ndio. Cha kufanya ilikuwa nacho, ni kufyatua makombora yasiyo na madhara. Siku ile shambulizi la magaidi wawili kwa bunduki lilileta madhara makubwa kuliko shambulizi la makombora 200.
Huku ni kunifariji!
Kama hayajaleta madhara, hakuna haja ya kufanya vikao. Waendelee na operesheni yao ya Lebanon.
Hizi zote ni kelele zisizokuwa na maana, Israel ameshajibiwa. Kama majibu hajayapenda, aje na swali kwa mtindo mwingine, then tutapata majibu nani ni nani.

Pia usijisahaulishe sana, kabla Iran hajafanya alichokifanya Marekani iliipiga Iran mkwara mzito sana. Lakini bado Iran amefanya alichokifanya.
Sasa wewe endelea kuwadogosha Iran, wakati Marekani anahangaika kupeleka majeshi yake hapo mashariki ya kati kuilinda Israel dhidi ya hao unaowadogosha.
 
Shambulio alilofanya Iran sio la mwanzo ni mwendelezo. Ni jibu la shambulio alilofanya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na maafisa wa Iran. Ambao walishirikiana kuishambulia Israel.

Chanzo cha yote haya ni mashambulizi ya axis of evil dhidi ya Israel. Kwahiyo mtulie kila mtu apewe dozi ya kiwango chake, ilianza Hamas, ikaja Hezbollah na sasa Iran.

Shambulizi la Israel dhidi ya Iran haiwezi kuwa uchokozi ni retaliation. Na hata mkidai hivyo bado Israel anaimudu Iran.
 
Tupo hapa hatuendi popote, tunasubiri kuona Israel anafanya nini.
Na hiki ndio tunachokitaka sisi, Israel ahamishie nguvu zake kwa Iran. Aachane na mikia, apige kichwa.
 
Kwani walilenga majengo ya Raia?
Military targets za Israel haziwekwi kwenye makazi ya watu. Uko kwingineko kambi ya jeshi iko underground msikitini na shuleni. Command centre ya Hezbollah iko kama Kariakoo watu kibao wanaizunguka.

Vilevile raia wana shelters hata yapigwe majengo bado casualties zinakuwa chache.
 
90% yalioenya, hata video clips zilizopigqa kwa simu tu zinaonesha hivyo.

F35 20 zilitekezwa, hilo lipo wazi kabisa.

Waende wakkaiguse tena Iran, tuuone mwisho. Wao.
 
Tupo hapa hatuendi popote, tunasubiri kuona Israel anafanya nini.
Na hiki ndio tunachokitaka sisi, Israel ahamishie nguvu zake kwa Iran. Aachane na mikia, apige kichwa.


Nini zaidi? Na yeye atarusha makombora ya kimarekani akisaidiwa na mashetani wenzake wamarekani, waingereza na nato.

Hawana kipya.
 
Waende wakkaiguse tena Iran, tuuone mwisho. Wao.
Unazani iran hajawahi kuota kuiangamiza Israel?
Tena aliwahi tamka wazi kabisa kuwa ataiondoa kwenye uso wa dunia, vipi mpaka leo ameweza?

Mbona kakimbilia kuomba s 400 za Russia kulinda nuke plants.?
 
Kama Mazayuni wanafungia vyombo vya habari kuripoti unategemea hizo picha zitoke wapi?
Huko wanakopiga Mazayuni unapata picha kwasababu vyombo vya habari vipo huru kuripoti.
Waarabu milioni mbili waliopo Israel nao hawana smartphones na camera? Wote ni maskini kama panya? Nao wanaficha madhara, na wageni nao wanaficha madhara?

Mbona clips za mashambulizi ya Israel uko Lebanon, Gaza, Syria tunaziona zimerekodiwa na simu na CCTV camera.
Tunasubiri!

Huku ni kunifariji!
Kama hayajaleta madhara, hakuna haja ya kufanya vikao. Waendelee na operesheni yao ya Lebanon.
Unawapangia sasa cha kufanya. Wamefanya vikao kutokana na shambulizi, sio madhara ya shambulizi. Hata ushambulie porini au majini watafanya vikao.
Hizi zote ni kelele zisizokuwa na maana, Israel ameshajibiwa. Kama majibu hajayapenda, aje na swali kwa mtindo mwingine, then tutapata majibu nani ni nani.
Suala la majibu lipo wazi pigia mstari na bold. Subiri kuhesabu maumivu
Iran wanapigwa onyo sio mkwara, wasijeangamia. US mbona ilitoa onyo kwa Hamas na ikatoa pia kwa Hezbollah wakakaza shingo mwisho wa siku wameachwa na viranja tu viongozi wakubwa hamna. October 2023 hapa
 
Nini zaidi? Na yeye atarusha makombora yakimarekani akisaidiwa na mashetani wenzake wamarekani, waingereza na nato.

Hawana kipya.
Udini ni ugonjwa mbaya sana.
Ukiwa mdini, uweo wa kufikiri unaisha kabisa.
 
Naam nguruwe, una hali gani hapo ulipo.
Walausiwe na shaka, mnajulikana.

Kichapo cha juzi si mchezo, unajuwa kuwa jana Myemeni na Hezbollah wamefanya yao?
 
mimi ni kiibodi woria, niko getoni Mvuti nikitangazia live yanayojiri mido isti
nirushe kipi kwa shabaha hata kutengeneza kiberiti sijui
Hata waasi wanasemaga hivi hivi. Mwisho wa siku milipuko tu inarindima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…