ngoja ngoja
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 673
- 1,526
Kwani walilenga majengo ya Raia?Unanipiga risasi nikiwa nimevaa bulletproof vest, vest inazuia alafu unasema una roho nzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani walilenga majengo ya Raia?Unanipiga risasi nikiwa nimevaa bulletproof vest, vest inazuia alafu unasema una roho nzuri?
✋✋✋✋Ipe muda Iran si imeshambulia na makombora 200. Israel ikitumia hata 50 fanya mlinganyo
Kwasasa hatujui kwakweli nani anazo na nani hana. Mazayuni wafanye jambo ili tujue.Kwamba wao hawana Ballistic Missiles?
US, Russia and China both develops hypersonic missiles.Kwasasa hatujui kwakweli nani anazo na nani hana. Mazayuni wafanye jambo ili tujue.
Kama Mazayuni wanafungia vyombo vya habari kuripoti unategemea hizo picha zitoke wapi?Makao makuu gani yalipigwa? Kila kilichopigwa na Israel picha zipo, nipe evidence makao makuu yamepigwa. Makombora yalikuwa yanajidondokea bila shabaha halisi.
Tunasubiri!Bado yajayo kwa Iran hanafurahisha.
Huku ni kunifariji!Makombora hayana mashara ndio. Cha kufanya ilikuwa nacho, ni kufyatua makombora yasiyo na madhara. Siku ile shambulizi la magaidi wawili kwa bunduki lilileta madhara makubwa kuliko shambulizi la makombora 200.
Hizi zote ni kelele zisizokuwa na maana, Israel ameshajibiwa. Kama majibu hajayapenda, aje na swali kwa mtindo mwingine, then tutapata majibu nani ni nani.Iran haina fighter jets, haina refuering tanks, haina airlifters, haina air defence systems covering the vast country, haina nukes, haina subs.
Iran haifanani kwa lolote na Israel kijeshi. Iran ina jeshi limekazania kujihami, kujilinda. Israel ina jeshi linalosisitiza kushambulia. Kwa sera za Israel ni bora iwe na attack jets kuliko kuwa na interceptor jets.
Iran ina idadi ya wanajeshi wengi ambayo haina maana kwa mantiki hii sababu haipakani na Israel, sasa watapita wapi?
Pia ina makombora mengi na drones.
Kumbuka Israel haijawahi tumia ballistic missile wala ICBM labda cruise tu. Wote hawa watatumia anga kushambuliana na Iran haina air dominance.
Shambulio alilofanya Iran sio la mwanzo ni mwendelezo. Ni jibu la shambulio alilofanya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na maafisa wa Iran. Ambao walishirikiana kuishambulia Israel.✋✋✋✋
Usihamishe magoli!!!
Unaongea as if Mazayuni wanaonewa.
Hili shambulio alilofanya Iran ni majibu ya assassinations walizozifanya Mazayuni Tehran na Beirut.
Kwahiyo so far ni bilabila, yaani hapa sio kwamba Iran anasubiri majibu ya Mazayuni, Iran wanasubiri maswali/uchokozi kutoka kwa Mazayuni.
Hivyo shambulio lolote la Mazayuni kwa Iran litakuwa sio majibu, bali ni swali/uchokozi, Iran watawajibika kujibu. Iran akishajibu ndio tutafanya mlinganyo. Mlinganyo kwa sasa umekamilika, majibu ni kuwa kama ambavyo Israel anaweza kupiga popote ndani ya Iran, na Iran anaweza kupiga popote ndani ya Israel.
Tupo hapa hatuendi popote, tunasubiri kuona Israel anafanya nini.Shambulio alilofanya Iran sio la mwanzo ni mwendelezo. Ni jibu la shambulio alilofanya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na maafisa wa Iran. Ambao walishirikiana kuishambulia Israel.
Chanzo cha yote haya ni mashambulizi ya axis of evil dhidi ya Israel. Kwahiyo mtulie kila mtu apewe dozi ya kiwango chake, ilianza Hamas, ikaja Hezbollah na sasa Iran.
Shambulizi la Israel dhidi ya Iran haiwezi kuwa uchokozi ni retaliation. Na hata mkidai hivyo bado Israel anaimudu Iran.
Military targets za Israel haziwekwi kwenye makazi ya watu. Uko kwingineko kambi ya jeshi iko underground msikitini na shuleni. Command centre ya Hezbollah iko kama Kariakoo watu kibao wanaizunguka.Kwani walilenga majengo ya Raia?
90% yalioenya, hata video clips zilizopigqa kwa simu tu zinaonesha hivyo.Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds
Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
Tupo hapa hatuendi popote, tunasubiri kuona Israel anafanya nini.
Na hiki ndio tunachokitaka sisi, Israel ahamishie nguvu zake kwa Iran. Aachane na mikia, apige kichwa.
Unazani iran hajawahi kuota kuiangamiza Israel?Waende wakkaiguse tena Iran, tuuone mwisho. Wao.
Waarabu milioni mbili waliopo Israel nao hawana smartphones na camera? Wote ni maskini kama panya? Nao wanaficha madhara, na wageni nao wanaficha madhara?Kama Mazayuni wanafungia vyombo vya habari kuripoti unategemea hizo picha zitoke wapi?
Huko wanakopiga Mazayuni unapata picha kwasababu vyombo vya habari vipo huru kuripoti.
Unawapangia sasa cha kufanya. Wamefanya vikao kutokana na shambulizi, sio madhara ya shambulizi. Hata ushambulie porini au majini watafanya vikao.Tunasubiri!
Huku ni kunifariji!
Kama hayajaleta madhara, hakuna haja ya kufanya vikao. Waendelee na operesheni yao ya Lebanon.
Suala la majibu lipo wazi pigia mstari na bold. Subiri kuhesabu maumivuHizi zote ni kelele zisizokuwa na maana, Israel ameshajibiwa. Kama majibu hajayapenda, aje na swali kwa mtindo mwingine, then tutapata majibu nani ni nani.
Iran wanapigwa onyo sio mkwara, wasijeangamia. US mbona ilitoa onyo kwa Hamas na ikatoa pia kwa Hezbollah wakakaza shingo mwisho wa siku wameachwa na viranja tu viongozi wakubwa hamna. October 2023 hapaPia usijisahaulishe sana, kabla Iran hajafanya alichokifanya Marekani iliipiga Iran mkwara mzito sana. Lakini bado Iran amefanya alichokifanya.
Sasa wewe endelea kuwadogosha Iran, wakati Marekani anahangaika kupeleka majeshi yake hapo mashariki ya kati kuilinda Israel dhidi ya hao unaowadogosha.
Udini ni ugonjwa mbaya sana.Nini zaidi? Na yeye atarusha makombora yakimarekani akisaidiwa na mashetani wenzake wamarekani, waingereza na nato.
Hawana kipya.
Mbona umemkimbilia "udini"?Udini ni ugonjwa mbaya sana.
Ukiwa mdini, uweo wa kufikiri unaisha kabisa.
Naam nguruwe, una hali gani hapo ulipo.Mbona umemkimbilia "udini"?
Hoja zimekuwa chungu kwako ewe kondoo?
Walausiwe na shaka, mnajulikana.Naam nguruwe, una hali gani hapo ulipo.
Yapi hayoWalausiwe na shaka, mnajulikana.
Kichapo cha juzi si mchezo, unajuwa kuwa jana Myemeni na Hezbollah wamefanya yao?
Hata waasi wanasemaga hivi hivi. Mwisho wa siku milipuko tu inarindima.mimi ni kiibodi woria, niko getoni Mvuti nikitangazia live yanayojiri mido isti
nirushe kipi kwa shabaha hata kutengeneza kiberiti sijui
nipe huyo kwenye Avatar anipe somoHata waasi wanasemaga hivi hivi. Mwisho wa siku milipuko tu inarindima.