Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Nimeona video. Makombora yalioanguka hayakutengeneza second explosions hii inamaana yalianguka katika mchanga na sio katika millitary target.
Israel hua hadungui kila kombora wakilifatilia kombora wakiona litaenda kuangukia katika eneo lisilo la kiraia au eneo la wazi huwa wanayaacha hayo makombora yaanguke. Mfumo unatumia gharama kubwa ku intercept. Ndo maana unaona makombora yaliachwa..
 
OooohKay!
Muajemi ashasema, Mzayuni atulie akijichanganya atatandikwa.
Tunasubiri Mzayuni ajichanganye.
 
mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Jamani huu ni mfano tu, siyo kwamba huo mfumo unatumia dakika moja! Nilitoa mfano ili ueleweke kwa urahisi zaidi! Ila mfumo unafanya kazi kwa mtindo huo. Inaweza kuwa sekunde kadhaa ama dakika kadhaa!
 
Israel hawezi kuimudu Irani peke yake na kinachompa tabu Irani us n Uk otherwise Israel hawezi, nasema hivi kwasababu Irani ashampa mafupa ambayo yako strong huyo muisraeli alafu yeye amekaa anakunywa mvinyo. Ila miji yote ya Israel ni vingola tu na mashambulizi yaani kashamtia ubize na vikundi tu
 
Lakini Bado Iran itapigika maana kama kiongozi wa Iran aliuwawa Kwa kinachoitwa hitilafu na Hali ya hewa, je alitumia technology Gani? Yetu macho na masikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…