Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Nimeona video. Makombora yalioanguka hayakutengeneza second explosions hii inamaana yalianguka katika mchanga na sio katika millitary target.Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds
Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
Israel hua hadungui kila kombora wakilifatilia kombora wakiona litaenda kuangukia katika eneo lisilo la kiraia au eneo la wazi huwa wanayaacha hayo makombora yaanguke. Mfumo unatumia gharama kubwa ku intercept. Ndo maana unaona makombora yaliachwa..