Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!

Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!

Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds​


Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.



Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
Nimeona video. Makombora yalioanguka hayakutengeneza second explosions hii inamaana yalianguka katika mchanga na sio katika millitary target.
Israel hua hadungui kila kombora wakilifatilia kombora wakiona litaenda kuangukia katika eneo lisilo la kiraia au eneo la wazi huwa wanayaacha hayo makombora yaanguke. Mfumo unatumia gharama kubwa ku intercept. Ndo maana unaona makombora yaliachwa..
 
Waarabu milioni mbili waliopo Israel nao hawana smartphones na camera? Wote ni maskini kama panya? Nao wanaficha madhara, na wageni nao wanaficha madhara?

Mbona clips za mashambulizi ya Israel uko Lebanon, Gaza, Syria tunaziona zimerekodiwa na simu na CCTV camera.

Unawapangia sasa cha kufanya. Wamefanya vikao kutokana na shambulizi, sio madhara ya shambulizi. Hata ushambulie porini au majini watafanya vikao.

Suala la majibu lipo wazi pigia mstari na bold. Subiri kuhesabu maumivu

Iran wanapigwa onyo sio mkwara, wasijeangamia. US mbona ilitoa onyo kwa Hamas na ikatoa pia kwa Hezbollah wakakaza shingo mwisho wa siku wameachwa na viranja tu viongozi wakubwa hamna. October 2023 hapaView attachment 3113920
OooohKay!
Muajemi ashasema, Mzayuni atulie akijichanganya atatandikwa.
Tunasubiri Mzayuni ajichanganye.
 
mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Jamani huu ni mfano tu, siyo kwamba huo mfumo unatumia dakika moja! Nilitoa mfano ili ueleweke kwa urahisi zaidi! Ila mfumo unafanya kazi kwa mtindo huo. Inaweza kuwa sekunde kadhaa ama dakika kadhaa!
 
Shambulio alilofanya Iran sio la mwanzo ni mwendelezo. Ni jibu la shambulio alilofanya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na maafisa wa Iran. Ambao walishirikiana kuishambulia Israel.

Chanzo cha yote haya ni mashambulizi ya axis of evil dhidi ya Israel. Kwahiyo mtulie kila mtu apewe dozi ya kiwango chake, ilianza Hamas, ikaja Hezbollah na sasa Iran.

Shambulizi la Israel dhidi ya Iran haiwezi kuwa uchokozi ni retaliation. Na hata mkidai hivyo bado Israel anaimudu Iran.
Israel hawezi kuimudu Irani peke yake na kinachompa tabu Irani us n Uk otherwise Israel hawezi, nasema hivi kwasababu Irani ashampa mafupa ambayo yako strong huyo muisraeli alafu yeye amekaa anakunywa mvinyo. Ila miji yote ya Israel ni vingola tu na mashambulizi yaani kashamtia ubize na vikundi tu
 
Lakini Bado Iran itapigika maana kama kiongozi wa Iran aliuwawa Kwa kinachoitwa hitilafu na Hali ya hewa, je alitumia technology Gani? Yetu macho na masikio.
 
Back
Top Bottom