Hatupendi majigamboIsrael akinyandua mtu huwa tunaona video na picha,
Nyie video na picha ziko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupendi majigamboIsrael akinyandua mtu huwa tunaona video na picha,
Nyie video na picha ziko wapi?
Sisi mashabiki wasanaa za mapigano tunasubiri tuone huu mtanange ,ila tunatakiwa tujue kabisa hii kitu tunayoshabikia sio netflix ni maisha ya binadamu wenzetu ndio yanapotea na sisi tunashangilia ku satisfy ego zetuAhahahaha mkuu kwahiyo unamaanisha yale machuma chuma ya s400 ya mrusi yasinge perform?
Kinachochekesha zaidi ni watu wanavyodhani Israel hana hizo silaha, wakati wanazo kitambo.Ndo hapo sasa, yaan upige mtu risasi alie behind bullet proof glass kisha useme sikuwa na mpango wa kumuua nilikuwa namtisha, kama kumtisha piga hewan au ardhini
Wewe kabla Israel hawajashambulia umeshajua, ila Iran itawachukua hadi wiki kujua!?kwamba Israel akishambulia Iran itamchukia hadi week kuweza kujua kama mashambulizi hayo yametokea ndani au nchi ya nchi
Warabu hawafichi madhara Israel anaficha.Israel akinyandua mtu huwa tunaona video na picha,
Nyie video na picha ziko wapi?
Zipo kadhaa mkuuZiko ngapi hizo maiti mkuu?
Ok. Pole kwa wafiwa.Zipo kadhaa mkuu
Usifikiri watu tunaongea kishabiki kama mnavyoongea ninyi. Rudi ukafuatilie matukio kadhaa yaliyotokea ndani ya Iran, anzia ajali ya ndege iliyomuondoa rais wao, juzi ndiyo wamekuja kustuka na kuihusisha pager naada ya pagers kulipuka Lebanon, fuatilia kifo cha Kiongozi wa Hamas, iliwachukua muda gani kutegua kitendawili? Maana mwanzo walijua ni kombora, hawakutarajia kwa ulinzi walio nao kama watu wangeweza kujipenyeza na kupandikiza bomu.Wewe kabla Israel hawajashambulia umeshajua, ila Iran itawachukua hadi wiki kujua!?
Ushabiki bhana!!!
😂😂😂
Unafikiri ni kwa nini wanaficha?Warabu hawafichi madhara Israel anaficha.
Twende taratibu.anzia ajali ya ndege iliyomuondoa rais wao, juzi ndiyo wamekuja kustuka na kuihusisha pager naada ya pagers kulipuka Lebanon
Kumbe zaidi ya comments za JF hata kufustilia mambo haufuatilii??Twende taratibu.
Tuanzie hapa kwanza, nani ameihusisha ajali iliyomuua Ebrahim Raisi na milipuko ya pagers?
Nipe chanzo cha hii habari tafadhali.
Hii yako kali zaidi.Kumbe zaidi ya comments za JF hata kufustilia mambo haufuatilii??
Hii kali
Oh shit unaongea pumba kaka.Bora ukutane na jeshi kamili kuliko hao migambo kama wakule kongo,nizaid ya jeshi pia katika hao unaosema migambo wapo wanajeshi kibao,wa Irani Yemen Kuna wanajeshi wa Syria pale Kuna Kila aina unaoijua wewe,lakini bado wanachezea, na hamna vita ngumu kama yakupigana na hao magaidi maana wanakujaga tu hawaishi kama wa vetnam, lakini wamekutana na myaudi kazi nimoja tu kuwawahisha kwa Allah wakapate mabikira wanao wawaza..(afu Sina upunguan mzee.nina mizuka yangu)
Upande wa Israel nimetizama pia wala sikuweka bias.Vipi ume conclude kwa kuangalia upande wa iran pekee.
Umewahi fatilia projects za wayahudi? Unajua kama anatengeneza defense system kwa ajili ya hypersonic missiles? Je ile iron laser beam inayoanza kazi 2025 je unaijua?.
Iran anatengeneza siraha kwa wingi maana anajua lazima awagawie washirika wake.
Israeli anatengeneza siraha kwa uchache ili ajikinge, ndio maana ana concentrate sana kwenye high tech.
Hiking ki clip ndo mmepwa masjid coz kila mfuasi wa dini ya magaidi ya allah anako
Hivi bado wako active kama mwanzo?Oh shit unaongea pumba kaka.
Hizi ni pumba unaongea.
Mwanamgambo huwa ana limited fire power.
Sio kama jeshi kamili huwa lina full firepower.
Na nani kakudanganya hizbollah kuna wanajeshi wa Syria na nchi zingine!?
Mbona unaropoka mambo yasiyo na uhakika!?
Kama Israel anajiweza angeshawamaliza Hamas.
Mkuu wale walioua askari 14 wa IDF walioingia Lebanon ni kina nani??Hivi bado wako active kama mwanzo?
Unachanganya, wale wameuliwa na hezbollah.Mkuu wale walioua askari 14 wa IDF walioingia Lebanon ni kina nani??
Au vyuku wale walikua wanashika bastola!?