Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Ahahahaha mkuu kwahiyo unamaanisha yale machuma chuma ya s400 ya mrusi yasinge perform?
Sisi mashabiki wasanaa za mapigano tunasubiri tuone huu mtanange ,ila tunatakiwa tujue kabisa hii kitu tunayoshabikia sio netflix ni maisha ya binadamu wenzetu ndio yanapotea na sisi tunashangilia ku satisfy ego zetu
 
Ndo hapo sasa, yaan upige mtu risasi alie behind bullet proof glass kisha useme sikuwa na mpango wa kumuua nilikuwa namtisha, kama kumtisha piga hewan au ardhini
Kinachochekesha zaidi ni watu wanavyodhani Israel hana hizo silaha, wakati wanazo kitambo.
Wakati wenzao wana nyingi zaidi ya hizo.
Mfano Israel akituma F-35 Iran anapigwa kama amefumbwa macho, maana hataweza kuziona, kingine zaidi watu wanamakizia project ya kufunga hypersonc kwenye F-35, watu wasije kushangaa zikifanyiwa majaribio Iran. Ya kutisha zaidi ni kwamba Israel akishambulia Iran itamchukia hadi week kuweza kujua kama mashambulizi hayo yametokea ndani au nchi ya nchi.

Kwa sasa tutulie na popcorns tu
 
Wewe kabla Israel hawajashambulia umeshajua, ila Iran itawachukua hadi wiki kujua!?

Ushabiki bhana!!!
😂😂😂
Usifikiri watu tunaongea kishabiki kama mnavyoongea ninyi. Rudi ukafuatilie matukio kadhaa yaliyotokea ndani ya Iran, anzia ajali ya ndege iliyomuondoa rais wao, juzi ndiyo wamekuja kustuka na kuihusisha pager naada ya pagers kulipuka Lebanon, fuatilia kifo cha Kiongozi wa Hamas, iliwachukua muda gani kutegua kitendawili? Maana mwanzo walijua ni kombora, hawakutarajia kwa ulinzi walio nao kama watu wangeweza kujipenyeza na kupandikiza bomu.
Umefuatilia ile milipuko kwenye vinu vyao vya nyuklia? Umefuatilia mausji ya yule Mwanasayansi wao wa nyuklia?
Ukiina tuna comment soma vizuri, ukija kishabiki uyaindoka hivyohivyo
 
anzia ajali ya ndege iliyomuondoa rais wao, juzi ndiyo wamekuja kustuka na kuihusisha pager naada ya pagers kulipuka Lebanon
Twende taratibu.
Tuanzie hapa kwanza, nani ameihusisha ajali iliyomuua Ebrahim Raisi na milipuko ya pagers?
Nipe chanzo cha hii habari tafadhali.
 
Twende taratibu.
Tuanzie hapa kwanza, nani ameihusisha ajali iliyomuua Ebrahim Raisi na milipuko ya pagers?
Nipe chanzo cha hii habari tafadhali.
Kumbe zaidi ya comments za JF hata kufustilia mambo haufuatilii??
Hii kali
 
Bora ukutane na jeshi kamili kuliko hao migambo kama wakule kongo,nizaid ya jeshi pia katika hao unaosema migambo wapo wanajeshi kibao,wa Irani Yemen Kuna wanajeshi wa Syria pale Kuna Kila aina unaoijua wewe,lakini bado wanachezea, na hamna vita ngumu kama yakupigana na hao magaidi maana wanakujaga tu hawaishi kama wa vetnam, lakini wamekutana na myaudi kazi nimoja tu kuwawahisha kwa Allah wakapate mabikira wanao wawaza..(afu Sina upunguan mzee.nina mizuka yangu)
Oh shit unaongea pumba kaka.
Hizi ni pumba unaongea.
Mwanamgambo huwa ana limited fire power.
Sio kama jeshi kamili huwa lina full firepower.
Na nani kakudanganya hizbollah kuna wanajeshi wa Syria na nchi zingine!?
Mbona unaropoka mambo yasiyo na uhakika!?
Kama Israel anajiweza angeshawamaliza Hamas.
 
Vipi ume conclude kwa kuangalia upande wa iran pekee.
Umewahi fatilia projects za wayahudi? Unajua kama anatengeneza defense system kwa ajili ya hypersonic missiles? Je ile iron laser beam inayoanza kazi 2025 je unaijua?.

Iran anatengeneza siraha kwa wingi maana anajua lazima awagawie washirika wake.
Israeli anatengeneza siraha kwa uchache ili ajikinge, ndio maana ana concentrate sana kwenye high tech.
Upande wa Israel nimetizama pia wala sikuweka bias.
Iran iko na well sophisticated missiles kuliko Israel.
Haya sijayaongea mimi bali watafiti wa kijeshi wenyewe.
Hata ukienda mtandao wa global firepower watakuambia sababu kuu ya Iran kuwa top middle east ni missile power.
Na ana highly precision guided missiles.
We fuatilia project zake.
 
Oh shit unaongea pumba kaka.
Hizi ni pumba unaongea.
Mwanamgambo huwa ana limited fire power.
Sio kama jeshi kamili huwa lina full firepower.
Na nani kakudanganya hizbollah kuna wanajeshi wa Syria na nchi zingine!?
Mbona unaropoka mambo yasiyo na uhakika!?
Kama Israel anajiweza angeshawamaliza Hamas.
Hivi bado wako active kama mwanzo?
 
Mkuu wale walioua askari 14 wa IDF walioingia Lebanon ni kina nani??
Au vyuku wale walikua wanashika bastola!?
Unachanganya, wale wameuliwa na hezbollah.
Hapo juu uliwataja Hamas ndio nikauliza bado wako active kama mwanzo?
 
Back
Top Bottom