Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Namba 9 kweli
 
Simu zao hazibaki na msg wala simu zilizoingia au kutoka,yaani kila kitu kinafutwa,slay queens bana
 
Hahahaaa! Best mi mwanaume wala sio mvulana. Nnajua kila jukumu langu na kulitimiza kwa uaminifu. Mi nimeongelea hiki kizazi ambacho pia nakihurumia kama wewe unavyokishangaa. Ila sio mbaya hata hivyo tangu kuumbwa ulimwengu mi najua mwanamke hajaumbiwa taabu. Hata hiyo kazi bado naona mnanyanyasika ingawa wewe unasema hela mnayopata ni yenu. Hayo matumizi unayofanyia alipaswa kuyatimiza mwanaume kwahiyo ni kifamilia pia umemsaidia. Mf. Hela yako ukinunua nguo kuanzia ile ya ndani hadi ya nje,vipodozi, ukisuka nk... Yote haya ni yakifamilia tu. Kwa mwanaume mkamilifu siwezi kujisikia utukufu kabisa mke kupendeza wakati hata mia yangu haijatumika. Pia kumbuka wanawake mwenzio walioolewa na irresponsible men wanasomesha watoto peke yao je hili si la kifamilia? Au utamwacha mwanao kitaa wakati una uwezo wa kumlipia ada? Ni hv mimi ni Adam ninejua kumfanya Eva wangu ajihisi ni malkia wala sijajibu kwa hasira kama ulivyosema. Pamoja tuwahurumie watoto wetu kwenye kizazi chao wataishije.
 
Mwanamke anaeandika hivi tu, Hana sifa za akuwa mke.
 
Hongera we kwenu tajiri ila hatuwezi kufanana maisha eti wote tuwe matajiri mkuu.
Umasikini sio kilema
 
Simu zao hazibaki na msg wala simu zilizoingia au kutoka,yaani kila kitu kinafutwa,slay queens bana
Kwenye gemu utasikia kelele nyingii,mara oooh sijawahi kupata mwanaume kama wewe,mara baby usiniache,oooh unanijulia,ukiona hivyo kula chocho la hataree utaibiwa haa haa
 
Mwanamke masikini hata salamu yangu hapati. Pendelea kwenda Hoteli kubwa kubwa Huwezi kutana na upuuzi wa namna hiyo.

Pia tembelea Mbuga kama Saadani, Mafia Island, Na baadhi ya beach zenye kiingilio kikubwa. Huwezi kutana na huo upuuzi.

Usioe mwanamke asiye na bikra.
Usioe mwanamke masikini.

Kama hana bikra basi awe na pesa au ametokea familia ya kati au yenye pesa. Kama hana vyote piga chini.

Hii ni kwa watu wanaopenda kuishi maisha mazuri.

Kumbuka; Mwanaume unatakiwa ufanye kazi haswa
 
Mambo ya Mungu, Sawa wewe ni kati ya wale ambao mnaamini kwamba mwanaume anatakiwa atafute pesa na mwanamke afanye kazi za nyumbani haya vipi kwa wale ambao wanaamini kwamba mwanaume na mwanamke wote wanatakiwa watafute pesa hizo kazi za nyumbani atafanya nani?

Usiniambia eti kuna wanawake wanafanya hizo kazi wakitoka kwenye mihangaiko ndiyo najua wapo lakini hatuoni kwamba tunawabebesha mizigo mingi na kuwafanya wafanye majukumu mengi kuliko wanaume? Sababu hebu fikiria mwanaume atafute pesa tu ila mwanamke atafute pesa halafu tena afanye na kazi za ndani inakuja hiyo?

Na ninakwambia hizo ndoa ndo ambazo zinaongoza kwa malalamiko kutoka kwa wanaume kuwa wake zao hawana heshima na ni kweli kwa sababu tusitegemee mwanamke afanye majukumu mengi kuliko mumewe halafu bado awe chini ya mumewe hilo ni gumu

Mwanamke siku zote aliumbwa kuwa msaidizi wa mwanaume sasa inapotokea msaidizi anafanya majukumu mengi kuliko mkuu unategemea nini yaani makamu wa rais afanye majukumu mengi kuliko rais unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…