Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Basi naomba unijibu hili swali je kwako wewe unaamini kwamba mahusiano bora ni yale ambayo mwanamke anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume?
 
Ngoja tuone... kama unazo unampaa tuu...

Shida inakuja pale kama huna, kila kitu unachoombwa au kuambiwa utaona kama anasa...

Cc: mahondaw
 
Basi naomba unijibu hili swali je kwako wewe unaamini kwamba mahusiano bora ni yale ambayo mwanamke anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume?
Kwangu hapana! But kila mmoja ayajue majukum yake! mimi japokua sijaoa lakini naona kama kila mmoja atasimama kwenye nafasi yake basi mahusiano yatakuwa kama paradiso 🤣🤣
 
Wapi hapo wanawake wameamrishwa kuwa tegemezi?
 
Kwenye kupajua kwao sasa kuna demu nilidumu nae kwenye nahusiano miez 7 sikuwahi kupajua kwao na nilikuwa nabandua kila wikend niliuliza wenzake anapokaa nikaambiwa kwa mtogole yeye ananiambia kwao makumbusho nikimwambia nioneshe chenga kibao
 
Kwangu hapana! But kila mmoja ayajue majukum yake! mimi japokua sijaoa lakini naona kama kila mmoja atasimama kwenye nafasi yake basi mahusiano yatakuwa kama paradiso [emoji1787][emoji1787]
Hebu nitajie wewe majukumu ya kila mmoja unayoyajua maana mimi hayo niliyotaja umeyakataa
 
Hebu nitajie wewe majukumu ya kila mmoja unayoyajua maana mimi hayo niliyotaja umeyakataa
Kwangu mwanamke anae jitambua ambae anahakikisha watu wa nyumbani wameshiba huyo nampa heshima sana! Kuhusu kumsaidia majukumu kwanini ni simsaidie? Ikiwa Kweli naona kabisa hapa kunahitajika masaada!!
 
Kwahiyo anayefanya hivyo tu basi tayari anafaa kuwa mke mengine hata asipofanya haina shida na pia hata asipotafuta pesa haina shida?
 
@Edelyn, Ha ha ha naona unawaelimisha wanaume hawa...tatizo wagumu kuelewa
 
Mtu kutokumtii na kumheshimu mtu mwingine ni tabia tu wala haina uhusiano na kuhudumiwa (mtazamo wangu).

Tabia na makuzi ya watu yanachangia mienendo yao kwenye jamii. Na mimi huwa sijihusishi na wanawake wa tabaka fulani fulani kwenye kamii.

Honestly huwa nakuwa mbaguzi likija hili swala.
 
We uliambiwa utakula kwa jasho lako ila mwanamke hakuambiwa hivyo
niliambiwa na nani? Hivi unajua wachina wako zaidi ya bilioni moja, na hawaamini katika hicho unachoamini wewe? Eti umeambiwa, eti mwanamke hakuambiwa!! Unaleta imani kwenye maswala serious,, ndo maana tutabaki maskini daima
 
Sigara Kali, Ahahahahahahahaha hiyo kuwajua boda boda wengi na kuvaa nguo anayoambiwa anapendeza ni kweli mkuu daah hujakosea kaka hususan madem wa kipare wapo hiviii
 
Kuna kuomba pesa na kufanyana vitega uchumi.
Madada wa nowadays mmezid
 
niliambiwa na nani? Hivi unajua wachina wako zaidi ya bilioni moja, na hawaamini katika hicho unachoamini wewe? Eti umeambiwa, eti mwanamke hakuambiwa!! Unaleta imani kwenye maswala serious,, ndo maana tutabaki maskini daima
Kwani mchina ni nani? Kama wewe ni mtu usiye na imani basi naomba tufunge huu mjadala maana mabishano ya kiimani hayajawahi kuisha baki na unachoamini na mimi nibaki na ninachoamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…