Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Aisee
 
Pole. Hizo inaitwa ''red flags'' kizungu. Uliziona wakati wa uchumba na wewe ukaendelea na ndoa? Tabia mbaya anayoonyesha wakati wa uchumba itazidi mara mbili mkioana.
 
GT RRONDO yeye anacheza na Prenup tu akioa
 
Kuoa ni kubahatisha!kuzeeka pamoja ni majaaliwa!

Coz ke wengi wanaingia kwenye ndoa Ili wapate unafuu wa maisha !

Sasa he wakishaupata wataendelea kuitumikia ndoa!!?au watataka kuanzisha maisha mengine!!?
 
Mkuu ndoa ni utaoeli. Mwezi wa jana kijana mmoja kafunga ndoa hapa mtaani kwetu ulhali kabla ya kuoa nilimuonya aachane na huo mpango akanipuuza. Yanayompata sasa ndani ya ndoa ni majuto ni mjukuu.
 
Tatizo alivyokuwa anashauriwa kuwa mwanamke ni tabia, yeye alitafuta mwenye tako huku akijibu kwa kijeli "akili tutatumia zangu ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…