To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
HakikaNdoa ndoano bro, ishi nae kwa akili, ndoa ikiwa na utulivu ni baraka tosha, ndoa ikiwa na dosari ni jehanamu tosha ya hapa duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaNdoa ndoano bro, ishi nae kwa akili, ndoa ikiwa na utulivu ni baraka tosha, ndoa ikiwa na dosari ni jehanamu tosha ya hapa duniani
Vipi nimepatia?Mkuu unaakili nzuri kabisa!
Karma?Hakuna msafi mkuu,
Malipo hapahapa,, katika historia yako hujawai kuumiza binti yeyote?
🤣Kwenye huu ulimwengu wa kidigitali na social media, ndoa nyingi zimekuwa uchi mnoo! Imagine mke wako anajirekodi kila tukio analofanya alafu anaposti tikitoko! Stupid kabisa.
Hatar sanaWe si ulipenda Msambwanda na Sura? Washikaji walipokutonya ukasema bora Shape Tabia mtavumiliana? Sasa uvumilivu umekushinda?
KabisaKarma?
Ume u copy kama ulivyo kutoka kwa Jamii ya Watu wa TibeliKikwava Soma huu ujumbe kwa umakini nadhani utakuwa ulikuwa na Wenge wakati unaoa
Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi.
Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression. Kama unaushamba wa hizi ishu ndio ile unasema umekutana na Pisikali kumbe ni wenge lako tuu.
Mimi huwaga ili nithibitishe kuwa huyu demu ni mkali basi itanipasa nimuone kwa siku zisizopungua saba. Yaani mpaka macho yangu yamzoee na kumchoka.
Kama yatamuona mzuri kwa kiwango kilekile au pungufu kidogo basi nitakuwa huyo Mwanamke ni mzuri.
Ukimtongoza tuu utashangaa ndio mwanzo wa kuona wa kawaida au mbovu kabisa. Hapo hujafanya naye ngono. Ukifanya naye ngono ndio uzuri unapotea wote mpaka unajilaumu. Sio ajabu ukaanza kukumbuka maneno ya rafiki zako waliokuwa wakikucheka kuhusu huyo demu.
Ni mzuri kwa sababu hujamtongoza. Mtongoze uone kama utamuona hivyo. Au kuwa na mazoea naye uone. Au fanya ngono naye uone.
Mke au wachumba za Watu unawaona ni warembo kwa sababu hiyohiyo. Lakini nakuhakikishia kuwa asilimia 90% ya unaowaona wazuri sio hivyo uwaonavyo. Kinachokufanya uwaone hivyo ni wenge lako, tamaa ya ngono hivyo yaani.
Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.
Ikiwa wewe ni mke au mchumba wa mtu usijejidanganya ati wewe ni mzuri kisa unatongozwa tongozwa, hizo ni akili za kitoto na kutotujua wanaume.
Wenge likikata kwetu wanaume ndio mnatuita Mbwa sisi wenyewe tunashangaa tulikuwa tumefuata nini. Wenge ni baya.
Ndoa nyingi zimevunjika, mahusiano mengi yameharibiwa kwa wanawake kutoelewa hii kanuni.
Unakuta kabinti kisa kanatongozwa tongozwa basi kanaleta dharau kwa mpenzi wake au mume wake. Wakiachana na mchumba au mumewe akitegemea ile idadi ya wanaume wanaomtongoza itakuwa vilevile anashangaa inapungua maradufu. Hata yule aliyekuwa anamuona anafaa kuzidi mumewe naye anakimbia.
Hakuna anayekuona mzuri zaidi ya yule aliyekuweka ndani, aliyekuoa au anayetaka kukuoa.
Sisi wengine ni Wenge tuu linatusumbua.
Siku lilikata ndio yanatokea ya kutokea. Na raha ya wenge letu haliwezi dumu kwa miezi sita mfululizo lazima likate.
Chunga sana
Amechepuka?Nb; Naomba utaratibu wa kumpa mtu talaka
Anzia Mahakama ya Mwanzo, fungua jalada hapoNb; Naomba utaratibu wa kumpa mtu talaka
Pamoja mkuuUkiona mtu anasema nitafanya kitu kibaya huyo hafanyi, ukiona mtu anaomba ushauri wa talaka mtandaoni huyo siyo mtaliki, Utarattibu ni ule ule uliotumia wakati wa kuoa, kama muislam fuata taratibu hizo, mkiristu una taratibu zake, kimila kuna taratibu zake, Serikalini nenda mahakamani Omba kufungua kesi. simple
Mbona umetoa Ile picha yako, nilikuwa nataka niisevu mahali nikasahau. Rusha basi mremboHakika
DuuhYani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako😭😭 unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze🤣