Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Kwa ambaye hayamkuta anaona poa tu, ila ndoa ni kizingimkuti kama mmoja wa mwanandoa ana mawasiliano ya kimapenzi na ex wake. Inahitaji moyo mkubwa kumvumilia mke wa tabia hiyo vinginevyo ngoma iwe droo, yaani na mimi niwe na mawasiliano kama hayo na ex wangu, vinginevyo natimua mtu akaungane na huyo ex wake wakafurahie mapenzi yao kwa uhuru
 
Mkuu nakushauri mroge yani mpe dawa atatulia, atakuheshim, atakutii na atakusikiliza. Najua comment hii watu wanaojifanya wasomi wasioamini mila z kiafirika watapuuza lkn ukweli ndio huo!! Zamani babu zetu ndio walikuwa wakiwawahi wake zao kuwatoa wenge, ila vijana wa sasa wanawahiwa na wake zao
Umeongea point sana. Ingawa wafia dini hapa watakushangaa
 
Kwa ambaye hayamkuta anaona poa tu, ila ndoa ni kizingimkuti kama mmoja wa mwanandoa ana mawasiliano ya kimapenzi na ex wake. Inahitaji moyo mkubwa kumvumilia mke wa tabia hiyo vinginevyo ngoma iwe droo, yaani na mimi niwe na mawasiliano kama hayo na ex wangu, vinginevyo natimua mtu akaungane na huyo ex wake wakafurahie mapenzi yao kwa uhuru
Mrs Besyige akishaanza kugawa utamu nje tu ndoa inapoteza radha utasikia unaanza kunyimwa unyumba mara unapangiwa ratiba km upo Shule ya Msingi
 
Kama ni mkristo anaanzia kanisani, kanisani ikishindikana atapewa barua ya kwenda mahakama ya mwanzo kwa ajili ya maombi ya talaka. Wengine wanaanzia mabaraza ya kata
Kanisani na Baraza la Kata? Kufanya nini kutafuta usuluhishi?

Wahi Mahakamani Davis Mosha hakuanzia Kanisani wala Baraza la Kata moja kwa moja Mahakamani

Uende Kanisani ukaambiwe uendelee kuishi nae? Maana hicho ndio watakachokwambia kwamba bwana we acha usumbufu mlikuja wenyewe tukawafungisha Ndoa sasa mboni mnakuja kusumbua tena?
 
Kaka Wote Wapo Hivyo, Mvumilie Endelea Kumshauri Ndoa Sio Jambo Dogo. Wengi Tulio Kwenye Ndoa Wake Zetu Wana Tabia Za Kipuuzi Sometimes Tunachukulia Poa. Haya MAISHA Usiyachukulie Serious. Utapata Pressure, Mtindio Wa Ubongo, Afya Ya Akili Na Utakufa Mapema. Wanawake Wote Ndivyo Walivyo Usitegemee Ukimuacha Utapata Wa Nafuu Kwa Sasa Hawapo. Walikuwepo Karne Ya 20, Na Kizazi Kishapita Kizazi Hiki Tulichopo Ni Kizazi Cha Nyoka. Wewe Fanya Wajibu Wako. JUST MIND YOUR OWN BUSINESS.
 
Na haya ndio utakayoambiwa Kanisani na kwenye Baraza la Kata, ukienda Mahakamani utakachoambiwa zaidi mwambie aje siku fulani kusikiliza Shauri lake, mchezo umeishia hapo
 
Kanisani na Baraza la Kata? Kufanya nini kutafuta usuluhishi?

Wahi Mahakamani Davis Mosha hakuanzia Kanisani wala Baraza la Kata moja kwa moja Mahakamani

Uende Kanisani ukaambiwe uendelee kuishi nae? Maana hicho ndio watakachokwambia kwamba bwana we acha usumbufu mlikuja wenyewe tukawafungisha Ndoa sasa mboni mnakuja kusumbua tena?
Ni lazima uanzie huko, hiyo ni sheria. Unajuaje kama Devis Mosha hakuanzia huko. Huko kanisani au baraza la kata hakuna mtu atakushawishi ubadili maamuzi yako. Huwezi kupokelewa shauri kama hujapitia huko
 
Mkuu nakushauri mroge yani mpe dawa atatulia, atakuheshim, atakutii na atakusikiliza. Najua comment hii watu wanaojifanya wasomi wasioamini mila z kiafirika watapuuza lkn ukweli ndio huo!! Zamani babu zetu ndio walikuwa wakiwawahi wake zao kuwatoa wenge, ila vijana wa sasa wanawahiwa na wake zao
Uchawi teena...
 
Back
Top Bottom