Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Ni lazima uanzie huko, hiyo ni sheria. Unajuaje kama Devis Mosha hakuanzia huko. Huko kanisani au baraza la kata hakuna mtu atakushawishi ubadili maamuzi yako. Huwezi kupokelewa shauri kama hujapitia huko
Mimi nimesema aende mahakamani moja kwa moja hawezi atafute Mwanasheria amsaidie hio ndoa inavunjwa bila kupitia Kata wala Kanisani, usisahau kuna 'exception' na 'exemption'

'Yeye ampatae mke amepata kitu chema....'
 
Mimi nimesema aende mahakamani moja kwa moja hawezi atafute Mwanasheria amsaidie hio ndoa inavunjwa bila kupitia Kata wala Kanisani, usisahau kuna 'exception' na 'exemption'

'Yeye ampatae mke amepata kitu chema....'
Mimi niliambiwa lazima upitie huko, then mahakama ya mwanzo. Kumbuka mahakama ya mwanzo huruhusiwe kuweka mwanasheria. Hizo exceptions ni zipi?
 
Kanisani na Baraza la Kata? Kufanya nini kutafuta usuluhishi?

Wahi Mahakamani Davis Mosha hakuanzia Kanisani wala Baraza la Kata moja kwa moja Mahakamani

Uende Kanisani ukaambiwe uendelee kuishi nae? Maana hicho ndio watakachokwambia kwamba bwana we acha usumbufu mlikuja wenyewe tukawafungisha Ndoa sasa mboni mnakuja kusumbua tena?
Soma hukumu ya Davis Mosha walianzia baraza la usuluhishi la kata na ikashindikana.
 
Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako[emoji24][emoji24] unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze[emoji1787]
Ushakaliwa kichwani.
Kama hujalazimisha kumuona basi kwao mama ana sauti kuliko babake.
Pole najua unachopitia.
 
Hizi ndoa hapana wakuu!

Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa.

Mfano:-
  • Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa.
  • Umeona mchumba wako ana jazba ujue ukioa/olewa nae atakuwa anajaziba Mara kumi.
NB: Naomba utaratibu wa kumpa mtu talaka.
KATAA NDOA MNAITWA HUKU, KUNA MHANGA MJE MMPE USHAURI!!!
 
Back
Top Bottom