Ilikuwa ni those days. Pia hizo bidhaa ni viwanda vya wazungu so pesa inabaki kwenye circle ya wachache.Halafu kuna mtu anakwambia tz imeendelea kuliko kenya.
Mkuu OMO ni bidhaa ya zamani sana kuzidi Aerial.Na kabla ya Omo kulikuwa na aerial, ni sabuni ambazo watumiaji wake angalau wana uwezo kiuchumi
invented by the Hungarian László Biró, and in December 1950, launches his own ballpoint pen in France under the BIC® brandView attachment 3084548kitu BIC hivi bado zipo?!
Unilever ni muungano kati ya Uholanzi na UingerezaUnilever kampuni ya UK hii
Hiyo Cowbell ilivyokuwa inapambwa na Ipp Media nilijua inatengenezwa na viwanda vya marehemu mzee Reg MengiPaka power batteries
Cowboy
Cowbell
Roiko mchuzi mix
Unauhakika kuhusu baby care?
Asante kwa mchango, nime edit ni mafuta ya vaselineBabycare ni products za Tanzania zinatengenezwa hapo Tanga TPPL
OMO is a brand of laundry detergent that was introduced by the British-Dutch multinational consumer goods company Unilever in the 1950s. The exact year when OMO was first launched may vary depending on the market and region, but it is generally believed to have been introduced in the early 1950sMkuu OMO ni bidhaa ya zamani sana kuzidi Aerial.
Nimefunguka macho miaka ya '60, Omo naiona.
Yeah bapa inapendwa sana kenya kiukweliLabda Bapa
View attachment 3084519
Hata kama bidhaa ni ya kiwanda cha mzungu, mbona sie hatukua navyo vya wazungu kutufanya tuuze kwao?Ilikuwa ni those days. Pia hizo bidhaa ni viwanda vya wazungu so pesa inabaki kwenye circle ya wachache.
Sisi tunauza kwao mazao ya shambani ambayo pesa inaingia direct kwa mwananchi wa kawaida.
Chuma hii. Unakuwa sawa kwa 10000OG ya hii kitu sio mchezo, wabongo waliopo ng'ambo huko wana miss sana hii kitu.
A passionate belief in this vision fuelled the pioneering concept of selling filled milk powder in small sachets and Promasidor began selling the Cowbell brand in the Democratic Republic of Congo (then Zaire) in 1979. Today Cowbell is sold in the majority of countries across the African continentPaka power batteries
Cowboy
Cowbell
Roiko mchuzi mix
Nasikia kuna bapa feki, kuna mijitu ilidabuliwa ina kiwanda kabisa uchochoroni.OG ya hii kitu sio mchezo, wabongo waliopo ng'ambo huko wana miss sana hii kitu.
Mchawi ni ubora wa bidhaa tu mkuuNshawah kua kenya bidhaa niliona ya bongo inauzwa sana Enrgy drink za azam zile apple punch na azam ubuyu. Ila ebergy ina soko kubwa kenya kinoma sana wenyewe wana kwambia Tz power. Ila one thing mehifunza kenya wanapenda vya kwao nilikua supernarket 90% ni bidhaaa zao wwnyewe kwenye viwanda vyao suala la kua proud wako vzuri njoo huku sasa
Kwanza fahamu Nairobi ndiye ilikuwa Capital City ya Great East Africa. Wazungu walikaa hapo wengi wakati wa Ukoloni pia hata baada ya Ukoloni ndiyo maana wenzetu kwenye viwanda walituzidi.Hata kama bidhaa ni ya kiwanda cha mzungu, mbona sie hatukua navyo vya wazungu kutufanya tuuze kwao?
Sisi tunawauzia mazao ambayo bado hatujayapandisha thamani, wao wakinunua wanaongeza value halafu wanatuuzia ready-made goods.
Hapo kwa mtazamo wako nani ameendelea kiuchumi?
Sure Kwa unga wa ngano azam hana mpinzanu ila atleasr azania ana mkalibiaMchawi ni ubora wa bidhaa tu mkuu
Mbona baadhi ya products za Azam kama unga wa ngano wa Azam unauzika sana hapa Afrika Mashariki na kati ukiangalia sababu ni quality