Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

Mkuu OMO ni bidhaa ya zamani sana kuzidi Aerial.
Nimefunguka macho miaka ya '60, Omo naiona.
OMO is a brand of laundry detergent that was introduced by the British-Dutch multinational consumer goods company Unilever in the 1950s. The exact year when OMO was first launched may vary depending on the market and region, but it is generally believed to have been introduced in the early 1950s
 
Ilikuwa ni those days. Pia hizo bidhaa ni viwanda vya wazungu so pesa inabaki kwenye circle ya wachache.

Sisi tunauza kwao mazao ya shambani ambayo pesa inaingia direct kwa mwananchi wa kawaida.
Hata kama bidhaa ni ya kiwanda cha mzungu, mbona sie hatukua navyo vya wazungu kutufanya tuuze kwao?

Sisi tunawauzia mazao ambayo bado hatujayapandisha thamani, wao wakinunua wanaongeza value halafu wanatuuzia ready-made goods.

Hapo kwa mtazamo wako nani ameendelea kiuchumi?
 
Nshawah kua kenya bidhaa niliona ya bongo inauzwa sana Enrgy drink za azam zile apple punch na azam ubuyu. Ila ebergy ina soko kubwa kenya kinoma sana wenyewe wana kwambia Tz power. Ila one thing mehifunza kenya wanapenda vya kwao nilikua supernarket 90% ni bidhaaa zao wwnyewe kwenye viwanda vyao suala la kua proud wako vzuri njoo huku sasa
 
Paka power batteries
Cowboy
Cowbell
Roiko mchuzi mix
A passionate belief in this vision fuelled the pioneering concept of selling filled milk powder in small sachets and Promasidor began selling the Cowbell brand in the Democratic Republic of Congo (then Zaire) in 1979. Today Cowbell is sold in the majority of countries across the African continent
 
Nshawah kua kenya bidhaa niliona ya bongo inauzwa sana Enrgy drink za azam zile apple punch na azam ubuyu. Ila ebergy ina soko kubwa kenya kinoma sana wenyewe wana kwambia Tz power. Ila one thing mehifunza kenya wanapenda vya kwao nilikua supernarket 90% ni bidhaaa zao wwnyewe kwenye viwanda vyao suala la kua proud wako vzuri njoo huku sasa
Mchawi ni ubora wa bidhaa tu mkuu

Mbona baadhi ya products za Azam kama unga wa ngano wa Azam unauzika sana hapa Afrika Mashariki na kati ukiangalia sababu ni quality
 
Hata kama bidhaa ni ya kiwanda cha mzungu, mbona sie hatukua navyo vya wazungu kutufanya tuuze kwao?

Sisi tunawauzia mazao ambayo bado hatujayapandisha thamani, wao wakinunua wanaongeza value halafu wanatuuzia ready-made goods.

Hapo kwa mtazamo wako nani ameendelea kiuchumi?
Kwanza fahamu Nairobi ndiye ilikuwa Capital City ya Great East Africa. Wazungu walikaa hapo wengi wakati wa Ukoloni pia hata baada ya Ukoloni ndiyo maana wenzetu kwenye viwanda walituzidi.

Kinachouzwa Kenya sasahivi na wakulima wetu ni surplus ya mazao yao tu. Labda unitajie ni bidhaa gani ambayo ni imported from Kenya ambayo haitengenezwi hapa Tanzania miaka hii..

Pili, hakuna anayekataa Wakenya kuwa mbele yetu kiuchumi, ila individually Tanzania tuna maisha bora sana zaidi ya wenzetu. Na ni suala la muda tu, huko mbeleni tukiwa serious na tukifunga mkanda kisawasawa tutawaacha. Wenzetu walituzidi ujanja mdogo mdogo na lobbying tu, ila tulivyong’amua hayo tunafukuza mwizi kimya kimya
 
Back
Top Bottom