Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Ndugu mwandishi tatizo unatumia akili za kimwili kupata majibu ya kiroho
 
Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?
Kulingana na mafundisho ya Kikristo ni UMungu nafsi tatu (Holy Trinity)
  1. Mungu Baba
  2. Mungu Mwana (Yesu Kristo)
  3. Mungu Roho Mtakatifu
 
Nimeona swali ni moja tu la 1. Na jibu lake ni kwanba kama ni Mkristo. Basi Uungu hujui maana yake.
Mengine ni maelezo na mawazzo yako. Kwanini hujajiuliza pia kama Mungu yupo mbona watu wanakufa?
 
2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.
haki ya Mungu, uadilifu, imani, na uhusiano wa wanadamu na Mungu.
 
Sikia mkuu, Quran kariim ipo clearly, haiitaji roho mtakatifu bali akili, ulichoweka hapo si ulicho kisema, alafu kila siku mna sahihishwa lakini wapi, hakuna swali ambalo Quran kariim haija jibu, Quran kariim ni maneno ya Allah, ipo wazi, jibril ni malaika wa ALLAH na Shetani ni adui wa wanaadamu, je Quran kariim haija sema hivo?, (ndio hoja yako ipo hapo?
Kama Jibril ni malaika wa allah kwanini adui wake ndiye ateremshe quran?

Soma vizuri hiyo aya mkuu. Aliyeteremsha ni yule dui wa Jibril na siyo Jibril mbona ipo wazi?
 
Mkuu hivi unajua nini una uliza?, yaani una maanisha ALLAH (s.w ) na jibril (a.s) ni maadui ?, ndio Quran imesema hivo?, mkuu hiyo tafsiri umeitoa wapi?
 
Kulingana na mafundisho ya Kikristo ni UMungu nafsi tatu (Holy Trinity)
  1. Mungu Baba
  2. Mungu Mwana (Yesu Kristo)
  3. Mungu Roho Mtakatifu
Ajabu ni kwamba mungu wa bibilia ana pinga hilo la huo utatu,(holy Trinity) , kama una bisha utakuwa zero brain
1:17 yakobo Mungu habadiliki
Andiko lina kataa kata kata ya kwamba Mungu habadiliki , sasa hebu tujiiulize, na hayo ni maneno ya mungu
 
Nikipata muda nitaeleza kitabu cha mwanzo wakati wa uumbaji kuna mambo kanisa halijawahi kusema
Hizo ni fix na uongo , bibilia imejaa vitabu ambavyo hawajui nani kaviandika, bibilia ni kitabu cha kujikanyaga na vitu vya kubuni kila page, bibilia ni maneno ya Paulo utake ama usitake ushahidi tosha upo, ikiwa YESU mwenyewe alikataa kuitwa kristo nani aliyepinga amri yake kama siyo Paulo,
1:17 yakobo Mungu habadiliki (note hayo ni maneno ya mungu)

Kisha eti kuna UUNGU Mtatu (holy Trinity) , jamani jamani jamani
 
Ajabu ni kwamba mungu wa bibilia ana pinga hilo la huo utatu,(holy Trinity) , kama una bisha utakuwa zero brain
1:17 yakobo Mungu habadiliki
Andiko lina kataa kata kata ya kwamba Mungu habadiliki , sasa hebu tujiiulize, na hayo ni maneno ya mungu
Mungu wa Biblia haopingi mafundisho ya Utatu. Yakobo 1:17 inasema kuwa Mungu "habadiliki," akithibitisha kwamba asili yake ni thabiti. Utatu hauhusishi mgawanyiko wa Mungu, bali ufunuo wa Mungu mmoja katika nafsi tatu: Baba, Mwana (Yesu Kristo), na Roho Mtakatifu. Huu ni umoja wa asili ya Mungu katika njia tatu za kipekee. Kusema kwamba Utatu ni kinyume na mafundisho ya Biblia ni kukosa ufahamu wa jinsi Mungu anavyojidhihirisha kwa watu katika historia ya wokovu.

rejea mistari ifuatayo kukuza ufahamu wako.....
1.Mathayo 28:19
-"Basi, enendeni mkafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu."

2.Yohana 1:1-14
-
"Hapo mwanzo kulikuwa Neno, na Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu. Huo ndiye alikuwa mwanzo kwa Mungu. Yote yaliyo yapo yalifanyika kwa kupitia yeye; wala pasipo yeye hakuna kilichofanyika kilichofanyika. Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, na tuliiona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee kutoka kwa Baba, mtakatifu na wa kweli."

3.Yohana 10:30
-"
Mimi na Baba tu wamoja."

4.Yohana 14:16-17
-"Nami nitamwomba Baba, naye atawapa mwingine Msaidizi, atakaye kuwa nanyi milele, Roho wa kweli, ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu hauuoni wala haujui; lakini ninyi mnamjua, kwa maana anakaa nanyi, na atakuwa ndani yenu."

5. 2 Wakorintho 13:14
-
"Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu, uwe nanyi nyote."

6.Yohana 14:9-11
-
"Yesu akamwambia, Filipo, ni miaka hii yote nipo nanyi, wala hujanijua? Aliyeona mimi amemwona Baba; vipi, sema, Uonyeshe Baba? Je! Huwezi kuamini ya kuwa mimi ni katika Baba, na Baba yupo ndani yangu?"

7. 1 Yohana 5:7-8
-
"Kwa maana watatu wakiishuhudia mbinguni, Baba, Neno, na Roho Mtakatifu; na hao watatu ni mmoja. Na watatu wanashuhudia duniani, Roho, na maji, na damu; na hao watatu wanakubaliana pamoja."

8.Wakolosai 2:9
-
"Kwa maana katika yeye (Yesu Kristo) mkazi wa utimilifu wote wa Mungu ulipatikana kwa mwili."

9.Matendo 2:32-33
-
"Yesu huyu Mungu alimfufua, nasi sote tunashuhudia jambo hili. Basi, kwa kuwa ameletwa juu kwa mkono wa kuume wa Mungu, na alipokea kutoka kwa Baba Roho Mtakatifu aliyeahidiwa, alimuagia, kama mnavyouona na kusikia."

10. Waefeso 4:4-6
-
"Mwili mmoja, Roho mmoja, kama vile mlikuitwa kwa tumaini moja mliloalikwa; Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; Mungu mmoja na Baba wa wote, ambaye juu ya yote, na kati ya yote, na ndani ya yote."
 
Mkuu ukitaka kuitetea bibilia kamwe hutoweza hata iweje ndio maana kuna kiongozi alisema akifa Azikiwe ki islamu una jua Kwa nini?, alitumia akili kisha aka ujua ukweli ni upi, haya hebu Turudi ktk mada yetu
1:17, yakobo Mungu habadiliki
Labda kwanza elewa maana ya kubadilika akili ikisha elewa rudi ktk current situation ( Mungu baba, hii ni hali ya kwanza, Mungu mwana hiyo ni hali ya pili, na mungu roho mtakatifu hiyo ni hali ya tatu) je Mungu hapo haja badilika Ktk hali tatu,?, mkuu wewe huna hoja ngoja nikumalize kabisa

33:17 kutoka , Mungu haonekani ( je YESU alikua haonekani?)
5:37 yohana, sauti ya Mungu haijasikika (je sauti ya YESU haijasikika)
121:1-4 zaburi, Mungu halali usingizi ( je YESU alikua halali?)
Sasa Kwa nini mna mzushia YESU kuwa ni Mungu wakati bibilia ina kataa hilo? Mpaka hapa tushajua kuwa uungu wa YESU ni wa mchongo, yaani YESU sio MUNGU wala nini according to bibilia,

Je YESU ni MWANA WA MUNGU?,
M Mungu wa bibilia ana Kataa, tena ana uliza kwa hoja kali ili kama yupo wa kumjibu basi amjibu.
50:1 Isaya, kwamba iko wapi talaka ya mama yenu ambayo kwayo niliachana naye? ( Aliye uliza hapo ni Mungu kupitia kinywa cha nabii Isaya)

Wewe huna hoja kaa kwa kutulia, haujui bibilia
 
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Kuna kitabu cha mwanzo sikumbuki. Sura na mastari.

Mungu ndiye alipunguza umri wetu wa kuishi kumbe akasema sitaweza mvumilia binadamu tena miaka yake ya kuishi itakuwa 120.
 
Mungu wa Biblia haopingi mafundisho ya Utatu. Yakobo 1:17 inasema kuwa Mungu "habadiliki," akithibitisha kwamba asili yake ni thabiti. Utatu hauhusishi mgawanyiko wa Mungu, bali ufunuo wa Mungu mmoja katika nafsi tatu: Baba, Mwana (Yesu Kristo), na Roho Mtakatifu. Huu ni umoja wa asili ya Mungu katika njia tatu za kipekee. Kusema kwamba Utatu ni kinyume na mafundisho ya Biblia ni kukosa ufahamu wa jinsi Mungu anavyojidhihirisha kwa watu katika historia ya wokovu.

rejea mistari ifuatayo kukuza ufahamu wako.....
1.Mathayo 28:19
-"Basi, enendeni mkafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu."

2.Yohana 1:1-14
-
"Hapo mwanzo kulikuwa Neno, na Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu. Huo ndiye alikuwa mwanzo kwa Mungu. Yote yaliyo yapo yalifanyika kwa kupitia yeye; wala pasipo yeye hakuna kilichofanyika kilichofanyika. Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, na tuliiona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee kutoka kwa Baba, mtakatifu na wa kweli."

3.Yohana 10:30
-"
Mimi na Baba tu wamoja."

4.Yohana 14:16-17
-"Nami nitamwomba Baba, naye atawapa mwingine Msaidizi, atakaye kuwa nanyi milele, Roho wa kweli, ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu hauuoni wala haujui; lakini ninyi mnamjua, kwa maana anakaa nanyi, na atakuwa ndani yenu."

5. 2 Wakorintho 13:14
-
"Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu, uwe nanyi nyote."

6.Yohana 14:9-11
-
"Yesu akamwambia, Filipo, ni miaka hii yote nipo nanyi, wala hujanijua? Aliyeona mimi amemwona Baba; vipi, sema, Uonyeshe Baba? Je! Huwezi kuamini ya kuwa mimi ni katika Baba, na Baba yupo ndani yangu?"

7. 1 Yohana 5:7-8
-
"Kwa maana watatu wakiishuhudia mbinguni, Baba, Neno, na Roho Mtakatifu; na hao watatu ni mmoja. Na watatu wanashuhudia duniani, Roho, na maji, na damu; na hao watatu wanakubaliana pamoja."

8.Wakolosai 2:9
-
"Kwa maana katika yeye (Yesu Kristo) mkazi wa utimilifu wote wa Mungu ulipatikana kwa mwili."

9.Matendo 2:32-33
-
"Yesu huyu Mungu alimfufua, nasi sote tunashuhudia jambo hili. Basi, kwa kuwa ameletwa juu kwa mkono wa kuume wa Mungu, na alipokea kutoka kwa Baba Roho Mtakatifu aliyeahidiwa, alimuagia, kama mnavyouona na kusikia."

10. Waefeso 4:4-6
-
"Mwili mmoja, Roho mmoja, kama vile mlikuitwa kwa tumaini moja mliloalikwa; Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; Mungu mmoja na Baba wa wote, ambaye juu ya yote, na kati ya yote, na ndani ya yote."
Hizo aya zako ulizotoa hapo zina thibitisha kuwa yesu hakujiita Mungu bali ali pachikwa UUNGU, pili mungu ni mmoja ili hali mme gushi utatu, kisha YESU kumuita MUNGU jina la baba haimaanishi kuwa ni baba yake wa kumzaa hilo nakupa likuiingie, sisi waislamu Allah (s.w) tunamuita
" MLEZI" Kwa kuwa kila kiumbe ana kiliea, sifa ya kulea ni ya mzazi, kwahiyo YESU kamaanisha baba "MLEZI" na siyo baba mzazi (ki balojia), kama sisi pia hupendelea ku muita Adam (a.s) kama baba, hapo haja tuzaa ki biology ila kupitia nasabu pia hata YESU alikua ana jiita mwana wa Adam (a.s) ila hilo huwa hamlioni kwa sababu hamlitaki
 
Hizo aya zako ulizotoa hapo zina thibitisha kuwa yesu hakujiita Mungu bali ali pachikwa UUNGU, pili mungu ni mmoja ili hali mme gushi utatu, kisha YESU kumuita MUNGU jina la baba haimaanishi kuwa ni baba yake wa kumzaa hilo nakupa likuiingie, sisi waislamu Allah (s.w) tunamuita
Yesu hakujitambulisha kama Mungu, lakini kama mja wa Mungu, na kwamba kwa mujibu wa Uislamu, Allah (s.w) ndiye Mlezi wa viumbe vyote. Yesu alikubali kuwa chini ya mapenzi ya Baba, na hii inaonyesha uhusiano wa kiroho, sio wa kibiolojia. Uislamu na Ukristo wanatofautiana hapa, na ni muhimu kuelewa jinsi kila dini inavyotafsiri uhusiano huu.
hali mme gushi utatu,
Uislamu unahubiri Mungu kama Mmoja (Tawhid), bila sehemu tatu, msingi wa imani ya Kiislamu na hutofautiana na mtazamo wa Utatu katika Ukristo, hili linaweza kuwa na tafsiri za kiimani ambazo zimekuwepo kwa karne nyingi, na kila upande unaleta tafsiri zake kuhusu Mungu.
 
kwahiyo YESU kamaanisha baba "MLEZI" na siyo baba
rejea Yohana 1:1,
"Hapo mwanzo kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu." (Yohana 1:1,
TAFSIRI YAKE...
  1. Neno ni sehemu ya asili ya Mungu.
  2. uhusiano wa karibu kati ya Mungu Baba na "Neno" (Yesu), akisema kuwa "Neno" lilikuwa kwa Mungu tangu mwanzo wa kila kitu
  3. Wakristo wanaamini kwamba "Neno" lilijificha katika mwili wa Yesu Kristu (Yohana 1:14). Yesu, akiwa Neno la Mungu, alikubaliana kuwa binadamu ili kuleta wokovu kwa wanadamu.
 
33:17 kutoka , Mungu haonekani ( je YESU alikua haonekani?)
5:37 yohana, sauti ya Mungu haijasikika (je sauti ya YESU haijasikika)
121:1-4 zaburi, Mungu halali usingizi ( je YESU alikua halali?)
Sasa Kwa nini mna mzushia YESU kuwa ni Mungu wakati bibilia ina kataa hilo? Mpaka hapa tushajua kuwa uungu wa YESU ni wa mchongo, yaani YESU sio MUNGU wala nini according to bibilia,
  1. Yesu ni Mungu katika Umbo la Kibinadamu (Ukristo), Ingawa Yesu alijitambulisha kama "Mwana wa Mungu", imani ya Kikristo inafundisha kwamba alikubali kuwa binadamu ili kumkomboa mwanadamu, lakini haimaanishi kuwa alikosa uungu wake. Hivyo, Yesu alichukua hali mbili: ya kibinadamu na ya uungu.
  2. Mungu hawezi Kubadilika (Uislamu): Hii inatokana na imani ya Tawhid ambapo Allah ni mmoja, hawezi kushirikishwa na yeyote, na hivyo Yesu hawezi kuwa Mungu kwa sababu Allah hawezi kubadilika na kujificha katika umbo la kibinadamu.
  3. Yesu kama Mwana wa Mungu ni tafsiri ya kiroho katika Ukristo na si kwa maana ya kibiolojia. Hii ni tofauti na Uislamu ambapo Yesu ni nabii, na Allah pekee ni Mola. Tafsiri hizi zinatofautiana kwa msingi wa mafundisho ya kila dini.
 
Mungu ndiye alipunguza umri wetu wa kuishi kumbe akasema sitaweza mvumilia binadamu tena miaka yake ya kuishi itakuwa 120.
BIBLIA NI NGUMU ,NMEPITIA HAPA
Zaburi 90:10:
-"Miaka ya umri wetu ni sabini, au, ikiwa ni nguvu, thelathini na tano; lakini mrefu wake ni uchungu na huzuni, maana huisha kwa haraka, nasi twapita." (Zaburi 90:10)
 
Back
Top Bottom