Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipata muda nitaeleza kitabu cha mwanzo wakati wa uumbaji kuna mambo kanisa halijawahi kusemaH
Hayo maneno umeyatoa know ktk kitabu gani?
Hiki ulichoandika ni upumbavu.Ndugu mwandishi tatizo unatumia akili za kimwili kupata majibu ya kiroho
Kulingana na mafundisho ya Kikristo ni UMungu nafsi tatu (Holy Trinity)Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?
haki ya Mungu, uadilifu, imani, na uhusiano wa wanadamu na Mungu.2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.
Kama Jibril ni malaika wa allah kwanini adui wake ndiye ateremshe quran?Sikia mkuu, Quran kariim ipo clearly, haiitaji roho mtakatifu bali akili, ulichoweka hapo si ulicho kisema, alafu kila siku mna sahihishwa lakini wapi, hakuna swali ambalo Quran kariim haija jibu, Quran kariim ni maneno ya Allah, ipo wazi, jibril ni malaika wa ALLAH na Shetani ni adui wa wanaadamu, je Quran kariim haija sema hivo?, (ndio hoja yako ipo hapo?
Mkuu hivi unajua nini una uliza?, yaani una maanisha ALLAH (s.w ) na jibril (a.s) ni maadui ?, ndio Quran imesema hivo?, mkuu hiyo tafsiri umeitoa wapi?Kama Jibril ni malaika wa allah kwanini adui wake ndiye ateremshe quran?
Soma vizuri hiyo aya mkuu. Aliyeteremsha ni yule dui wa Jibril na siyo Jibril mbona ipo wazi?
Ajabu ni kwamba mungu wa bibilia ana pinga hilo la huo utatu,(holy Trinity) , kama una bisha utakuwa zero brainKulingana na mafundisho ya Kikristo ni UMungu nafsi tatu (Holy Trinity)
- Mungu Baba
- Mungu Mwana (Yesu Kristo)
- Mungu Roho Mtakatifu
Hizo ni fix na uongo , bibilia imejaa vitabu ambavyo hawajui nani kaviandika, bibilia ni kitabu cha kujikanyaga na vitu vya kubuni kila page, bibilia ni maneno ya Paulo utake ama usitake ushahidi tosha upo, ikiwa YESU mwenyewe alikataa kuitwa kristo nani aliyepinga amri yake kama siyo Paulo,Nikipata muda nitaeleza kitabu cha mwanzo wakati wa uumbaji kuna mambo kanisa halijawahi kusema
Mungu wa Biblia haopingi mafundisho ya Utatu. Yakobo 1:17 inasema kuwa Mungu "habadiliki," akithibitisha kwamba asili yake ni thabiti. Utatu hauhusishi mgawanyiko wa Mungu, bali ufunuo wa Mungu mmoja katika nafsi tatu: Baba, Mwana (Yesu Kristo), na Roho Mtakatifu. Huu ni umoja wa asili ya Mungu katika njia tatu za kipekee. Kusema kwamba Utatu ni kinyume na mafundisho ya Biblia ni kukosa ufahamu wa jinsi Mungu anavyojidhihirisha kwa watu katika historia ya wokovu.Ajabu ni kwamba mungu wa bibilia ana pinga hilo la huo utatu,(holy Trinity) , kama una bisha utakuwa zero brain
1:17 yakobo Mungu habadiliki
Andiko lina kataa kata kata ya kwamba Mungu habadiliki , sasa hebu tujiiulize, na hayo ni maneno ya mungu
Mkuu ukitaka kuitetea bibilia kamwe hutoweza hata iweje ndio maana kuna kiongozi alisema akifa Azikiwe ki islamu una jua Kwa nini?, alitumia akili kisha aka ujua ukweli ni upi, haya hebu Turudi ktk mada yetuMungu wa Biblia haopingi mafundisho ya Utatu. Yakobo 1:17 inasema kuwa Mungu "habadiliki," akithibitisha kwamba asili yake ni thabiti. Utatu hauhusishi mgawanyiko wa Mungu, bali ufunuo wa Mungu mmoja katika nafsi tatu: Baba, Mwana (Yesu Kristo), na Roho Mtakatifu. Huu ni umoja wa asili ya Mungu katika njia tatu za kipekee. Kusema kwamba Utatu ni kinyume na mafundisho ya Biblia ni kukosa ufahamu wa jinsi Mungu anavyojidhihirisha kwa watu katika historia ya wokovu.
rejea mistari ifuatayo kukuza ufahamu wako.....
1.Mathayo 28:19
-"Basi, enendeni mkafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu."
2.Yohana 1:1-14
-"Hapo mwanzo kulikuwa Neno, na Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu. Huo ndiye alikuwa mwanzo kwa Mungu. Yote yaliyo yapo yalifanyika kwa kupitia yeye; wala pasipo yeye hakuna kilichofanyika kilichofanyika. Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, na tuliiona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee kutoka kwa Baba, mtakatifu na wa kweli."
3.Yohana 10:30
-"Mimi na Baba tu wamoja."
4.Yohana 14:16-17
-"Nami nitamwomba Baba, naye atawapa mwingine Msaidizi, atakaye kuwa nanyi milele, Roho wa kweli, ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu hauuoni wala haujui; lakini ninyi mnamjua, kwa maana anakaa nanyi, na atakuwa ndani yenu."
5. 2 Wakorintho 13:14
-"Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu, uwe nanyi nyote."
6.Yohana 14:9-11
-"Yesu akamwambia, Filipo, ni miaka hii yote nipo nanyi, wala hujanijua? Aliyeona mimi amemwona Baba; vipi, sema, Uonyeshe Baba? Je! Huwezi kuamini ya kuwa mimi ni katika Baba, na Baba yupo ndani yangu?"
7. 1 Yohana 5:7-8
-"Kwa maana watatu wakiishuhudia mbinguni, Baba, Neno, na Roho Mtakatifu; na hao watatu ni mmoja. Na watatu wanashuhudia duniani, Roho, na maji, na damu; na hao watatu wanakubaliana pamoja."
8.Wakolosai 2:9
-"Kwa maana katika yeye (Yesu Kristo) mkazi wa utimilifu wote wa Mungu ulipatikana kwa mwili."
9.Matendo 2:32-33
-"Yesu huyu Mungu alimfufua, nasi sote tunashuhudia jambo hili. Basi, kwa kuwa ameletwa juu kwa mkono wa kuume wa Mungu, na alipokea kutoka kwa Baba Roho Mtakatifu aliyeahidiwa, alimuagia, kama mnavyouona na kusikia."
10. Waefeso 4:4-6
-"Mwili mmoja, Roho mmoja, kama vile mlikuitwa kwa tumaini moja mliloalikwa; Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; Mungu mmoja na Baba wa wote, ambaye juu ya yote, na kati ya yote, na ndani ya yote."
Kuna kitabu cha mwanzo sikumbuki. Sura na mastari.Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;
1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?
2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.
3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?
4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?
5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Hizo aya zako ulizotoa hapo zina thibitisha kuwa yesu hakujiita Mungu bali ali pachikwa UUNGU, pili mungu ni mmoja ili hali mme gushi utatu, kisha YESU kumuita MUNGU jina la baba haimaanishi kuwa ni baba yake wa kumzaa hilo nakupa likuiingie, sisi waislamu Allah (s.w) tunamuitaMungu wa Biblia haopingi mafundisho ya Utatu. Yakobo 1:17 inasema kuwa Mungu "habadiliki," akithibitisha kwamba asili yake ni thabiti. Utatu hauhusishi mgawanyiko wa Mungu, bali ufunuo wa Mungu mmoja katika nafsi tatu: Baba, Mwana (Yesu Kristo), na Roho Mtakatifu. Huu ni umoja wa asili ya Mungu katika njia tatu za kipekee. Kusema kwamba Utatu ni kinyume na mafundisho ya Biblia ni kukosa ufahamu wa jinsi Mungu anavyojidhihirisha kwa watu katika historia ya wokovu.
rejea mistari ifuatayo kukuza ufahamu wako.....
1.Mathayo 28:19
-"Basi, enendeni mkafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu."
2.Yohana 1:1-14
-"Hapo mwanzo kulikuwa Neno, na Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu. Huo ndiye alikuwa mwanzo kwa Mungu. Yote yaliyo yapo yalifanyika kwa kupitia yeye; wala pasipo yeye hakuna kilichofanyika kilichofanyika. Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, na tuliiona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee kutoka kwa Baba, mtakatifu na wa kweli."
3.Yohana 10:30
-"Mimi na Baba tu wamoja."
4.Yohana 14:16-17
-"Nami nitamwomba Baba, naye atawapa mwingine Msaidizi, atakaye kuwa nanyi milele, Roho wa kweli, ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu hauuoni wala haujui; lakini ninyi mnamjua, kwa maana anakaa nanyi, na atakuwa ndani yenu."
5. 2 Wakorintho 13:14
-"Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu, uwe nanyi nyote."
6.Yohana 14:9-11
-"Yesu akamwambia, Filipo, ni miaka hii yote nipo nanyi, wala hujanijua? Aliyeona mimi amemwona Baba; vipi, sema, Uonyeshe Baba? Je! Huwezi kuamini ya kuwa mimi ni katika Baba, na Baba yupo ndani yangu?"
7. 1 Yohana 5:7-8
-"Kwa maana watatu wakiishuhudia mbinguni, Baba, Neno, na Roho Mtakatifu; na hao watatu ni mmoja. Na watatu wanashuhudia duniani, Roho, na maji, na damu; na hao watatu wanakubaliana pamoja."
8.Wakolosai 2:9
-"Kwa maana katika yeye (Yesu Kristo) mkazi wa utimilifu wote wa Mungu ulipatikana kwa mwili."
9.Matendo 2:32-33
-"Yesu huyu Mungu alimfufua, nasi sote tunashuhudia jambo hili. Basi, kwa kuwa ameletwa juu kwa mkono wa kuume wa Mungu, na alipokea kutoka kwa Baba Roho Mtakatifu aliyeahidiwa, alimuagia, kama mnavyouona na kusikia."
10. Waefeso 4:4-6
-"Mwili mmoja, Roho mmoja, kama vile mlikuitwa kwa tumaini moja mliloalikwa; Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; Mungu mmoja na Baba wa wote, ambaye juu ya yote, na kati ya yote, na ndani ya yote."
Yesu hakujitambulisha kama Mungu, lakini kama mja wa Mungu, na kwamba kwa mujibu wa Uislamu, Allah (s.w) ndiye Mlezi wa viumbe vyote. Yesu alikubali kuwa chini ya mapenzi ya Baba, na hii inaonyesha uhusiano wa kiroho, sio wa kibiolojia. Uislamu na Ukristo wanatofautiana hapa, na ni muhimu kuelewa jinsi kila dini inavyotafsiri uhusiano huu.Hizo aya zako ulizotoa hapo zina thibitisha kuwa yesu hakujiita Mungu bali ali pachikwa UUNGU, pili mungu ni mmoja ili hali mme gushi utatu, kisha YESU kumuita MUNGU jina la baba haimaanishi kuwa ni baba yake wa kumzaa hilo nakupa likuiingie, sisi waislamu Allah (s.w) tunamuita
Uislamu unahubiri Mungu kama Mmoja (Tawhid), bila sehemu tatu, msingi wa imani ya Kiislamu na hutofautiana na mtazamo wa Utatu katika Ukristo, hili linaweza kuwa na tafsiri za kiimani ambazo zimekuwepo kwa karne nyingi, na kila upande unaleta tafsiri zake kuhusu Mungu.hali mme gushi utatu,
rejea Yohana 1:1,kwahiyo YESU kamaanisha baba "MLEZI" na siyo baba
33:17 kutoka , Mungu haonekani ( je YESU alikua haonekani?)
5:37 yohana, sauti ya Mungu haijasikika (je sauti ya YESU haijasikika)
121:1-4 zaburi, Mungu halali usingizi ( je YESU alikua halali?)
Sasa Kwa nini mna mzushia YESU kuwa ni Mungu wakati bibilia ina kataa hilo? Mpaka hapa tushajua kuwa uungu wa YESU ni wa mchongo, yaani YESU sio MUNGU wala nini according to bibilia,
BIBLIA NI NGUMU ,NMEPITIA HAPAMungu ndiye alipunguza umri wetu wa kuishi kumbe akasema sitaweza mvumilia binadamu tena miaka yake ya kuishi itakuwa 120.