Okay mkuu nisha Kupata, lakini pia kuna ushahidi mkubwa kuwa Paulo ndio muenezaji wa ukristo, pia hilo jina la kristo mwenyewe YESU hakuta kuitwa kristo ila Paulo aka kaidi, pia wana theologia wana tambua uwepo wa vitabu ktk bibilia ambavyo hawajui nani kaviandika, hv ni dhahiri kusema kuwa wakristo wasoma kitu kisicho julikana na ni chakubuni, pili bibllia ni kitabu ukikisoma kwa akili timamu utagundua kuna ukweli una pindishwa, hebu jiulize kitu
Ikiwa YESU ka sali ktk SINAGOGI ni kwa nini wakristo wana sali ktk KANISA ?,
Na nina aliye waambia wakristo wa sali ktk KANISA?,
Ikiwa YESU alitaka waumini wake wa sali ktk KANISA ni kwa nini yeye hakuwaambia wanafunzi wake wayajenge ili wafanyie ibada ?,
in short hili neno KANISA halikutumika hapo kabla,
na neno KANISA maana yake ni mkusanyiko na siyo nyumba ya ibada au sehemu ya ibada.
na hapo mkuu ndipo tunapo rudi pale pale Paulo kafanya mengi sana ktk bibilia na ndio ka u shape huu ukristo, Kwa mantiki hiyo hii aya 3:15 wagalatia, ina maana kubwa sana, Paulo alihubiri ukristo antiokia na mfalme Agripa aka kataa,.