Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Kumbe Biblia si maneno ya Mungu?, mbona watumishi wakinukuu Biblia husema ni neno la Mungu?
fiks tu mkuu soma hapa 3:15 wagalatia kisha 11:25-26 matendo ya mitume (antiokia) , yesu mwenyewe alikataa kuitwa kristo matayo 16:20, pia luka 9:18-21, mtu wa kwanza kuvunja tamko la yesu ni Paulo 18:5-6 matendo ya mitume na pia ali pata pingamizi alipo taka kumuingiza mfalme Agripa ktk ukristo 26:27-29 matendo ya mitume, rejea yohana 4:25
 
Kuna baadhi ya maandiko yaliandikwa na walevi

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndio chimbuko la bwana alitoa bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe

Nimejibu
 
1. Si kweli kiswahili kina 95% ya maneno ya kiarabu kwahiyo huu ni UONGO

2. hiyo tafsiri unayofafanunua wewe ni toleo la ngapi la kuran? Kama ni moja basi wewe hayo maneno ni yako unataka kupindua kuran kwa kuweka mawazo yako na kuran mnasemaga inajitosheleza

Kwahiyo huna hoja ya maana
 
So mungu ndo anaua?

Ndio, anachukua alichokiumba...

Kwenye Biblia, kifo kimeelezwa kwa namna tofauti...

1. Adhabu baada ya mwanadamu kutenda dhambi, maana isingelikuwa ni dhambi basi mwanadamu angeliishi milele pasipo kuzeeka wala kifo...

Mwanzo 2
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Mwanzo 6
17 Na tazama, nitaleta gharika ya maji juu ya nchi, niharibu kila kitu chenye mwili na pumzi ya uhai, kisiwepo chini ya mbingu; kila kilichoko duniani kitakufa.

2. Namna ya kurejea kwa muumba...

Ayubu 1
21 akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe.
 
K

Hujathibitisha Mungu yupo.

Umeleta logical non sequitur fallacy.

Inayoonesha ujinga wako.

Ujinga unaothibitisha Mungu hayupo.

Kwa sababu, angekuwepo, asingeumba mtu mjinga kama wewe.
Wewe ni mpumbavu coz Mungu kamtaja mama, while sayansi yako haija Mtaja mama, kama Mungu ni muongo na hayupo pingana na maneno yake Kwa maana nenda kamle mama yako, kwani kipi kigumu?, mama yako hana papuchi?, hapa ni Mungu (through books and mitume) vs sayansi (na Wanasayansi logics)
 
Hujathibitisha Mungu yupo, unaleta stories za imani tu.
 
Unaongeza ukakasi zaidi.

Sio ukakasi mkuu, soma sehemu tofauti tofauti maandiko yapo wazi...

Ngoja nikuonhezee na hii uone ya kwamba hakukuwa na nafsi moja pekee, hizo nafsi nyingine mojawapo ndio hiyo inayotajwa kwenye kitabu cha Yohana kama Nuru au Neno...

Mwanzo 3
22 Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;

Kuna wakati nikiwa naishi mojawapo ya nchi za magharibi ya mbaki, niliwahi kutana na mabwana fulani wao katika hicho kitabu cha Mwanzo wanaamini hizo nafsi ambazo inaonekana kama Mungu alikuwa anapeana nazo taarifa ilikuwa ni Mungu mke, na Mungu mwana na aliyekuwa akiongea kwa niaba ni Mungu baba 😃

Wale mabwana nadhani ni dhehebu la mormoni...
 
Shetani ndio kaisha Quran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…